Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni biashara pekee ama kuna njia nyingine?

Jibu maswali niliyo kuuluza? Tabia kuacha kujibu maaswali ni ishara ya wazi kabisa ya kuwa hoja imekushinda
Maswali uliyouliza nishajibu huko juu nikaweka na reference kama 20...kwahyo zipitie urudi hapa
Kuhusu fulani jihad ilikuwaje?
 
Uislamu ni dini ya ovyo kabisa duniani, kutwa kucha ni kuchinja watu tu
 
umechelewa hii mada...Haya mambo nilifafanua na kuweka references
 
Hapo tukiongelea usawa wa habari ni sawa labda uoneshe udini uko wapi maana kama ishu ni usawa sijadanganya kitu
 
Jibu rahisi: Sababu ni kuwa nchi za Afrika zilikuwa na contact na waarabu kwa miaka mingi saana kabla ya wazungu kuja Afrika.
 
Jibu rahisi: Sababu ni kuwa nchi za Afrika zilikuwa na contact na waarabu kwa miaka mingi saana kabla ya wazungu kuja Afrika.
Kabla ya wazungu kuja? Lakini walivyokuja dini yao ndio ikasambaa kuzidi ya hao waarabu? Kwanini mkuu?
 
Kabla ya wazungu kuja? Lakini walivyokuja dini yao ndio ikasambaa kuzidi ya hao waarabu? Kwanini mkuu?
Waarabu wao hawakuingia sana interior ukiangalia sehemu nyingi waliishia maeneo ya pwani na kama waliingia interior ni maeneo machache (mfano pwani ya Africa mashariki) kwa maeneo ya interior waliingia Tabora.

Hili la waarabu kutoenea sana ndani ndani ya nchi nyingi ukitizama ipo coconsistent sana katika pwani nyingi kuanzia A. Mashariki mpama Magharibi.

Kilichosababisha ukristu kuenea zaidi ni mwakuwa wazungu wao wali cover sehemu kubwa sana mpaka ndani misituni huko Congo.

Pia wazungu wa manzo ukiachana na wale waliokunakama wachunguzi (explorers) walikua ni missionaries ambao lengo lao ilikuwa ni kueneza injili na kutoa huduma za kijamii. (Japo in reality ni kuwa walikuja kuwalainisha waafrika kwa njia ya dini ili kuwatengenezea njia wakoloni/mabeberu ili waje kutawala Afrika kiulaini).

Hivyo hawa wamissionari ndio chanzo kikubwa cha kuenea zaidi ukristu kuliko uislamu ambao ulikuwa consistent zaidi katika maeneo ya pwani na maeneo macheche sana ya ndani.
 
Unaweza Kuthibitisha hili
Tafakari mwenyewe,Waisalam ndio wa mwanzo kufika Afrika lakini hawakutawala nchi yoyote Afrika

Waislam ndio wa kwanza kufika mashariki ya mbali lakini hawakutawala

Waislam ndio wa Mwanzo kufika Afrika Mashariki lakini hawalitawala..

Waislam walikuwa na kazi ya kufanya Biashara na kutangaza dini, lakini sio kutawala..

Tafakari
 
Lakum diinukum waliyadiin.
Haaah! tatizo lenu kubwa ni kama hivi ulivoandika, haya maneno hata weye huyajui maana yake, kusema ukweli, Ila uliambiwa ukibishana na mkristo mtupie jini kidomo! ndo hii!

Mkuu Baba! sisi tunaingia huko kwene Uislamu sababu tuna wahurumia, tuna waomba tuna wasihi, Muwe wanafunzi wa Yesu Muokoke Muende Mbinguni! hatubagui, hutaki kuiona paradiso? ufurahi na Bwana Yesu?

Pili hatutaki muendelee kutumiwa kudanganya watu wasio na hatia, mbaya zaidi watoto wasiojua kitu tunaumia sana kukaa bila kukemea hili wkt tuna weza. Yesu wetu ni Muafrica, na Ukristo ulianzia Africa ukamegwa, chetu wenyewe raha ilioje!

Mtume ni Muarabu-Mgiriki jamani huoni tofauti mkuu? tulivogeuzwa geuzwa, na kuuzwa bado mnawapa watu hawa nguvu! tembea uone Bagamoyo, Zanzibar, IVory coa, nk utalia bila kupigwa bila shaka wewe si muarabu,
 
Nonsense!
Endeleeni kudanganyana hivyo hivyo! Eti tunawahurumia! Unamhurumia nani? Hizo huruma zimeanza lini? Endeleeni na upotovu wenu, mkutano mbele ya safari!
 
umechelewa hii mada...Haya mambo nilifafanua na kuweka references
Nacheka sana, hili hakuna aliyewahi kulithibitisha, mimi nakupa miaka kumi ulete ushahidi wa kweli kabisa ya kuwa mama Khadija alimzidi mtume miaka 15.
 
Infantry Soldier pole sana!!

Uzi wako ulikuwa mzuri sana kwa kuibua udadisi lakini WAPUMBAVU waendekeza udini na kashfa za kidini wamekuharibia uzi wako!!
Asante ndugu yangu.

Hii ndio JF "where we dare to talk openly" bila kujali hicho kinachozungumziwa kama kinaendana na maudhui ya mada husika. Ngoja niendelee kuona mwisho wake utafika wapi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…