Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
Kama wewe hujui usiongelee waiskam wote...Not all muslims are ignorant na uzuri refrence ya hadith nimewekaHio hadith uijue wewe tu Waislamu dunia nzima wasiijue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wewe hujui usiongelee waiskam wote...Not all muslims are ignorant na uzuri refrence ya hadith nimewekaHio hadith uijue wewe tu Waislamu dunia nzima wasiijue
Maswali uliyouliza nishajibu huko juu nikaweka na reference kama 20...kwahyo zipitie urudi hapaJibu maswali niliyo kuuluza? Tabia kuacha kujibu maaswali ni ishara ya wazi kabisa ya kuwa hoja imekushinda
umechelewa hii mada...Haya mambo nilifafanua na kuweka referencesHivi kwanini hamsomi vijana ? Nani alikwambia mtume alizidiwa miaka 15 na mkewe mama Khadija ?
Sira ya mtume ya mtume umeisoma wapi ?
Tuwekee ushahidi unao onyesha ya kuwa mtume aliajiriwa na mama Khadija kabla hajamuoa.
Isiwe hizi habari nazo unazichukua kwa wajinga wenzako wa BBC, CNN na vyombo vingine vya habari visivyokuwa na weledi wa kisomi na insafu.
Mtumwa gani alinunulowa na Mtume ?
Huwa nacheka sana napojadiliana na nyinyi, mnaandika Uongo mpaka najiuliza hivi hamsomeshwi hata adabu za kufanya utafiti na kuujua Ukweli ?
Hapo tukiongelea usawa wa habari ni sawa labda uoneshe udini uko wapi maana kama ishu ni usawa sijadanganya kitu"Ni kweli
kuna yale ma caravan routes and trades.
Hata mtume Muhammad alikuwa trader wa Caravan kabla hajawa mtume..Although alipokuwa mtume na kupata wafuasi alianza kuvizia hawa traders na kuwapokonya mali"
[emoji115][emoji115][emoji115]
Kwahiyo hii unaona ni sawa kabisa kwa vile aliyeongea hivyo ni mtu wa mrengo wako au kwa vile unaona sawa kwa sababu mnashirikiana kuuchafua Uislam??
Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Unaweza Kuthibitisha hiliUislam unakataza kumtawala mtu mwengine bila ya ridhaa yake
Na wakishachinja wanasema Allahu akbar na waislam wa kwa mtogole wanasema kuna mkono wa Israel.Uislamu ni dini ya ovyo kabisa duniani, kutwa kucha ni kuchinja watu tu
Kabla ya wazungu kuja? Lakini walivyokuja dini yao ndio ikasambaa kuzidi ya hao waarabu? Kwanini mkuu?Jibu rahisi: Sababu ni kuwa nchi za Afrika zilikuwa na contact na waarabu kwa miaka mingi saana kabla ya wazungu kuja Afrika.
Waarabu wao hawakuingia sana interior ukiangalia sehemu nyingi waliishia maeneo ya pwani na kama waliingia interior ni maeneo machache (mfano pwani ya Africa mashariki) kwa maeneo ya interior waliingia Tabora.Kabla ya wazungu kuja? Lakini walivyokuja dini yao ndio ikasambaa kuzidi ya hao waarabu? Kwanini mkuu?
Tafakari mwenyewe,Waisalam ndio wa mwanzo kufika Afrika lakini hawakutawala nchi yoyote AfrikaUnaweza Kuthibitisha hili
Unamaanisha biashara pekee mkuu?
WALAHUAH! WAKBAAARRR!!! Tiiiii !!!Waislam ni hodari kwa matusi ya jumla na rejareja wallah
TAKIBIIIR.....!
Haaah! tatizo lenu kubwa ni kama hivi ulivoandika, haya maneno hata weye huyajui maana yake, kusema ukweli, Ila uliambiwa ukibishana na mkristo mtupie jini kidomo! ndo hii!Lakum diinukum waliyadiin.
FHija ndio nini? Kwasababu bado unaandika pumba tu.
Hakuna swali ulilojibu, ndiyo maana nakukusisitiza ujibu maswali niliyo kuuliza.Maswali uliyouliza nishajibu huko juu nikaweka na reference kama 20...kwahyo zipitie urudi hapa
Kuhusu fulani jihad ilikuwaje?
Nonsense!Haaah! tatizo lenu kubwa ni kama hivi ulivoandika, haya maneno hata weye huyajui maana yake, kusema ukweli, Ila uliambiwa ukibishana na mkristo mtupie jini kidomo! ndo hii!
Mkuu Baba! sisi tunaingia huko kwene Uislamu sababu tuna wahurumia, tuna waomba tuna wasihi, Muwe wanafunzi wa Yesu Muokoke Muende Mbinguni! hatubagui, hutaki kuiona paradiso? ufurahi na Bwana Yesu?
Pili hatutaki muendelee kutumiwa kudanganya watu wasio na hatia, mbaya zaidi watoto wasiojua kitu tunaumia sana kukaa bila kukemea hili wkt tuna weza. Yesu wetu ni Muafrica, na Ukristo ulianzia Africa ukamegwa, chetu wenyewe raha ilioje!
Mtume ni Muarabu-Mgiriki jamani huoni tofauti mkuu? tulivogeuzwa geuzwa, na kuuzwa bado mnawapa watu hawa nguvu! tembea uone Bagamoyo, Zanzibar, IVory coa, nk utalia bila kupigwa bila shaka wewe si muarabu,
Nacheka sana, hili hakuna aliyewahi kulithibitisha, mimi nakupa miaka kumi ulete ushahidi wa kweli kabisa ya kuwa mama Khadija alimzidi mtume miaka 15.umechelewa hii mada...Haya mambo nilifafanua na kuweka references
Asante ndugu yangu.Infantry Soldier pole sana!!
Uzi wako ulikuwa mzuri sana kwa kuibua udadisi lakini WAPUMBAVU waendekeza udini na kashfa za kidini wamekuharibia uzi wako!!