Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Onesha uongo aliozua, mbona mnakuwa na reaction za ajabu ndugu zanguni katika imaan?Hapa humkwazi mtu ila usizue uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Onesha uongo aliozua, mbona mnakuwa na reaction za ajabu ndugu zanguni katika imaan?Hapa humkwazi mtu ila usizue uongo
Wamemwambia asome juzuu iliyoamriwa katika Ilmu Akhera na sio Ilmu duniaOkay,But who is ignoring intellectual sources and academic certified knowledge between me and you?
Acha uvivu mkuu Soma,Soma,Soma achana na masheikh wako wamekuambia nini
Nawewe unaanza kuwa kunguni eehMada ni kuenea kwa uislam Sub Saharan Africa na sio mtume Muhammad (SAW)
Tumia hata neno Mkwapuaji, Ukisema Mpokonyaji unakuwa hujatenda hakhi.[emoji28][emoji28]Dah!! Eeh alipokonya sasa tumuiteje kama alipokonya?
Sijaona quote yoyote ya wikipedia hapo zaidi ya Islamic sourcesHuna uislam wowote unaoujua, uislam ukaujue kupitia wikipedia, na hadithi za kusearch google!
Wewe ndio ulieanzisha kutoka nje ya mada! Jikite kwenye mada na uache ujinga!!
Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa Mtume Muhammad kashiriki biashara ya utumwa sana..na alikua anamiliki watumwa pia... So kavamia sehemu nyingi na kuenezwa uislamu ..Ni kweli
kuna yale ma caravan routes and trades.
Hata mtume Muhammad alikuwa trader wa Caravan kabla hajawa mtume..Although alipokuwa mtume na kupata wafuasi alianza kuvizia hawa traders na kuwapokonya mali.
Onesha mahala penye quote kutoka wikipediaNdio umeona leo? Basi sawa
Kausha basi! Sipendi majadiliano yahusuyo mambo ya dini, kila mtu na imani yake.Onesha mahala penye quote kutoka wikipedia
Sawa lakini usiwe MzushiKausha basi! Sipendi majadiliano yahusuyo mambo ya dini, kila mtu na imani yake.
Amen brother. Asante sana kwa busara hiziTukiachana na mambo ya Dini, Sisi sote ni watoto wa Mungu mmoja. Na kati yetu kuna wema na wabaya.
Kutukanana katika maswala ya Dini kunaonesha jinsi Dini zetu zinavyoshindwa kutusaidia baadhi yetu.
Mpendane kwanza ndo tujue mna Dini.
Safi sanaTukiachana na mambo ya Dini, Sisi sote ni watoto wa Mungu mmoja. Na kati yetu kuna wema na wabaya.
Kutukanana katika maswala ya Dini kunaonesha jinsi Dini zetu zinavyoshindwa kutusaidia baadhi yetu.
Mpendane kwanza ndo tujue mna Dini.
Mbona bado haujarudi mpaka sasa mkuuntarudi
Ina maana unaweza kuaccess JF alafu umeshindwa kujua kuhusu watu wa jamhuri ya China wanayowafanyia religion minorities kama waislam? yani haujasikia kuhusu waislam wa rohingya?Nyie dawa yenu ni wayahudi,wahabeshi anti baraka na mabhuda hapo huwa mkianza choko choko zenu mnatandikwa kisawa sawa then mnaanza huruma ya dunia
Dini gani hii imejaa ukorofi kila siku nyie tu kwenye nchi za wengine ...hutasikia wachina,wajapani,wahindi wala wakorea eti wamechokoza watu wa dini nyingine kwa misingi ya kidini bali ni nyie tu.
Alimpokonya Nani huku Afrika? Wacha kuleta propaganda za Kanisa lenuNi kweli
kuna yale ma caravan routes and trades.
Hata mtume Muhammad alikuwa trader wa Caravan kabla hajawa mtume..Although alipokuwa mtume na kupata wafuasi alianza kuvizia hawa traders na kuwapokonya mali.