Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni biashara pekee ama kuna njia nyingine?

Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni biashara pekee ama kuna njia nyingine?

Okay,But who is ignoring intellectual sources and academic certified knowledge between me and you?

Acha uvivu mkuu Soma,Soma,Soma achana na masheikh wako wamekuambia nini
Wamemwambia asome juzuu iliyoamriwa katika Ilmu Akhera na sio Ilmu dunia
 
Mada ni kuenea kwa uislam Sub Saharan Africa na sio mtume Muhammad (SAW)
Nawewe unaanza kuwa kunguni eeh

Mada ni kuenea kwa Uislam sasa anatajwa kiongozi na mwenezi wa uislam unaanza kitingisha kiuno huku na kule.

Una uelewa?
 
Huna uislam wowote unaoujua, uislam ukaujue kupitia wikipedia, na hadithi za kusearch google!
Wewe ndio ulieanzisha kutoka nje ya mada! Jikite kwenye mada na uache ujinga!!

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Sijaona quote yoyote ya wikipedia hapo zaidi ya Islamic sources

Acha kutapika usichafue kanzu sheikh,
 
Ni kweli
kuna yale ma caravan routes and trades.

Hata mtume Muhammad alikuwa trader wa Caravan kabla hajawa mtume..Although alipokuwa mtume na kupata wafuasi alianza kuvizia hawa traders na kuwapokonya mali.
Ni kweli kabisa Mtume Muhammad kashiriki biashara ya utumwa sana..na alikua anamiliki watumwa pia... So kavamia sehemu nyingi na kuenezwa uislamu ..
 
Niseme tu hio projected size na growth sio sawa. Data hazipo sawa.
Kwanza Three Major Religion ni
Christians 1.5 billion
Islam 1.2 billion
Hindus 1.1 billion
Figure zako hazipo sawa kabisa fanya research
 
Tukiachana na mambo ya Dini, Sisi sote ni watoto wa Mungu mmoja. Na kati yetu kuna wema na wabaya.
Kutukanana katika maswala ya Dini kunaonesha jinsi Dini zetu zinavyoshindwa kutusaidia baadhi yetu.
Mpendane kwanza ndo tujue mna Dini.
 
Tukiachana na mambo ya Dini, Sisi sote ni watoto wa Mungu mmoja. Na kati yetu kuna wema na wabaya.
Kutukanana katika maswala ya Dini kunaonesha jinsi Dini zetu zinavyoshindwa kutusaidia baadhi yetu.
Mpendane kwanza ndo tujue mna Dini.
Safi sana
 
Uislamu ulienezwa kwa panga yaani utake usitake utakuwa muislamu.Chagua uislamu uishi au kataa ufe.Hata sasa uislamu umeshikiliwa kwa ncha ya upanga.Adhabu ya kifo kwa mtu yeyeto anaeacha uislamu na kuingia dini nyingine au kueneza dini nyingine kwenye nje ya kiislamu.Awauliwi tu kwenye hizi nchi za kiislamu.But Mimi si muislamu but nazikubali mfumo wao wa uongozi ni wa haki Hakuna zuluma.
 
Nyie dawa yenu ni wayahudi,wahabeshi anti baraka na mabhuda hapo huwa mkianza choko choko zenu mnatandikwa kisawa sawa then mnaanza huruma ya dunia

Dini gani hii imejaa ukorofi kila siku nyie tu kwenye nchi za wengine ...hutasikia wachina,wajapani,wahindi wala wakorea eti wamechokoza watu wa dini nyingine kwa misingi ya kidini bali ni nyie tu.
Ina maana unaweza kuaccess JF alafu umeshindwa kujua kuhusu watu wa jamhuri ya China wanayowafanyia religion minorities kama waislam? yani haujasikia kuhusu waislam wa rohingya?
 
Ni kweli
kuna yale ma caravan routes and trades.

Hata mtume Muhammad alikuwa trader wa Caravan kabla hajawa mtume..Although alipokuwa mtume na kupata wafuasi alianza kuvizia hawa traders na kuwapokonya mali.
Alimpokonya Nani huku Afrika? Wacha kuleta propaganda za Kanisa lenu
 
Back
Top Bottom