Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni biashara pekee ama kuna njia nyingine?

Sasa em sikia mzee...Hapa tunaongelea kusambaa kwa uislam wewe utake usitake sisi tunadiscuss kama inakuuma sana sisi kuujua uislam kaa pembeni.
Huna uislam wowote unaoujua, uislam ukaujue kupitia wikipedia, na hadithi za kusearch google!
Wewe ndio ulieanzisha kutoka nje ya mada! Jikite kwenye mada na uache ujinga!!

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna ubaya mkuu mbona mimi maarufu reddit?
Mkuu, huyu jamaa kila akiingia katika mada zangu lazima aandike jambo la kukera ndio maana nikamuuliza jinsia yake kwa maana watoto wa kike waki-fall in love huwa hawasemi moja kwa moja bali wanakuwa wachokozi wachokozi. Angalia alivyoweka avatar ya kike

Loftins
 
Pole naona umepatwa na gadhabu.
Quora ni worldwide platform go learn there.
Acha makuzi ya kishamba wewe mtoto, Gadhabu iko wapi hapo sasa? hiyo ni polite language kabisa.

Unatutajia Quora Ili tuone uko juu matawi au? watu mithiri yako ni form four failure tu, mnajidaiga sana, kwanza hamnaga Grammatical eccentricity nzuri, muipate wapi na shule za kata. mnachomeka chomeka viraka tu! Fluent English zero!!

sasa aende Quora km hajui kiingeredha je? sikia hapa ameleta kwa wanaoongea kiswahili ili wajadili.

Muoneee kwaza!!! mfyuuxxcz!

kwani JF siyo World Wide? au ndo kwanza leo una jua msamiati wa neno''WW'' unatamka hovyo tu usisahau, ungekuwa Smith Word km mimi je? si ungetukana watu?
yaani kimombo chako cha kuokoteza Mtaroni katani kwenu ndo umeona utukoge siyo!

jukwaa la umombo hulijui? tunataka mawazo ya maana siyo huu utopolo wako unasumbua akili zetu kukuchunguza.

hapo usinijibu!! upotee ivoivo!!.
 
Samahani, naomba kujua jinsia yako

Natanguliza Shukrani.
 
Is Cairo part of sub-saharan Africa?...
My bad,Subsaharan Africa ni kubwa Mzee
Maybe tuiongelee by subparts Ukanda wa Swahili Coast Huku walikaa sana waarabu hadi wlitawala kina Sultan....Ila walijichanganya Sana ndomana Uswahili ni mtoto wa Uislam.

Ukija Cental na West Africa Huko kuna Mambo ya Kina Fulani,Hausa na Jihad wars zilizofanyika Miaka hiyo kuspread dini; nchi kama Ghana,Mali,Guinea,Senegal zilikuwa Affected Na hizi jihads.
Most kings and rulers waliconvert For their safety and also to gain wealth.
 
ilikua ni self defense
Self defence ya kuwavizia watu na mambo yao?Maana kuna siku muhammad alituma watu wakavamie Caravan ya waQuraysh na ilikuwa mwezi mtakatifu...Wale watu wakavamia Caravan wakaua watu wakachukua mateka pamoja na ngamia na mali wakaenda kumpa mtume 1/5 ya mali walizopata(Hii ilikuwa kabla ya amri kuwa kila mali za vitani mtume apewe 1/5).

Wale mateka wakacriticize hicho kitendo kuwa wamevamiwa mwezi mtukufu wakati hairuhusiwi,,Na wale wafuasi wa Muhamad wakawa very Sad kuwa wamekosea.

Then Allah the wise,sublime and all knowing akashusha Verse Quran 2:217
inayosema
kwamba kuua mwezi mtukufu ni dhambi sawa lakini kukataza watu kwenda kuswali mecca(kipindi hiki wale waQuraysh walimfukuza Muhammad na waislam Mecca)Ni dhambi kubwa zaidi kwa Allah kuliko kuua.

Kwahiyo wale mujahids(wauaji) wakafurahi sana kusikia hivo tena wakamfuata Muhammad wakamuomba kitendo walichofanya kihesabiwe kama Jihad ili wapate zawadi Akhera...

Allah akashusha Verse;
"Verily, those who have believed, and those who have emigrated (for Allah's religion) and have striven hard in the way of Allah, all these hope for Allah's mercy. And Allah is Oft-Forgiving, Most Merciful)"

Kwahiyo wale jamaa wakafurahi sana wamehesabiwa kama Mujahid na mabikra wameshaanza kuandaliwa.

Sio Maneno yangu....ibn ishaq anakuambia.
They said, "O Messenger of Allah! We wish that this incident be considered a battle for us, so that we gain the rewards of the Mujahidin.'' Then, Allah revealed:

إِنَّ الَّذِينَ ءَامَنُواْ وَالَّذِينَ هَاجَرُواْ وَجَـهَدُواْ فِي سَبِيلِ اللَّهِ أُوْلـئِكَ يَرْجُونَ رَحْمَةَ اللَّهِ وَاللَّهُ غَفُورٌ رَّحِيمٌ
(Verily, those who have believed, and those who have emigrated (for Allah's religion) and have striven hard in the way of Allah, all these hope for Allah's mercy. And Allah is Oft-Forgiving, Most Merciful.)

Other References:Tafsir ibn Kathir(Quran 2:217)
 
Umeleta mafuriko japo nilitaka matone

Hizo references zinapatikana kwenye source gani?
 
Sasa wewe jamaa Loftins unajibizana na mzee baba Pichukodada kisha unalitaja jina langu kwa minadi gani mkuu? Kwanini mimi nimekufanya nini boss wangu?
 
Umeleta mafuriko japo nilitaka matone

Hizo references zinapatikana kwenye source gani?
Hizo ni Earliest reliable Muslim sources.
ibn ishaq (mwanahistoria) -muslim
Ibn kathir(mwanahistoria) -muslim
 
Na hata nikiweka ufafanuzi hapa nakuhakikishia nitatoa 98% ya majibu kule, please vitu vingine kavisome kule ambako watu ni magwiji wa historia ya Africa na wengine wanaishi hizo nchi.
Ahsante.
Sihitaji ufafanuzi wako katika hii mada yangu kwa maana wapo wanaojua zaidi yako watakuja kunifundisha vema
 
Back
Top Bottom