Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,123
- 2,359
Wakristo kitambo wana chuki 'na waislamu, hao sio watu kabisa,kwenye miji yangu sipangishi jamii ya watu wa chukiMara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.
Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.
Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.
Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?
Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?
PamojaNi kweli chuki ipo sana tu.
Ila pia nchi nyingi za kikristo zimepokea waislam na kuruhusi watamalaki na imani zao tu kitu ambacho huko kwa wengine hakiwezekani.
Sema umeongea ukweli deep down likija syala la imani ndio hivyo.
Mimi mkristo ila rafk zangu wengi waislamu nadhani kati ya rafiki 10 bas nane watakuwa Waislam
Ni _90%Sio wote ila wengi mfano mwepesi humu
SawaHamna sehemu nimetaja uislamu sijui unatoa wapi hayo maneno
Sasa nnππSawa
Kwenye mikutano ya injili kwenye ukristo sijawahi kuona wakiunanga uislamu, Ila kwenye mihadhara yenu nmeona mara nyingiWewe imani yako ikiitwa ya kijinga kama unavyofanya utaona kuelimishwa au chuki ?
Dini haina upendo, Au watu wanaojitambulisha ni wakristo ndio hawana upendo, nijibu tafadhali..Kwanza niondoe katika hilo kundi "mlilokuwa" mimi sio mtu wa mrengo huo unaofikiri wewe.
Turudi kwenye ukristo hivyo unakubali dini ya Ukristo haina upendo wowote zaidi ya chuki ya chini kwa chini ?
Niondoe kwenye hilo kundi la yenu. Mimi sio mtu wa imani hiyo unayo fikiriKwenye mikutano ya injili kwenye ukristo sijawahi kuona wakiunanga uislamu, Ila kwenye mihadhara yenu nmeona mara nyingi
Historia yote ya Ukristo unaifahamu toka Ulaya mpaka ikakufikia wewe huku Afrika tena toka kwa mababu zako mpaka wewe ?
"Harakati zenu" unafikiri mimi ni imani hiyo unayofikiri huu ni ujinga.Kwanin nihangaike na historia wakati naona harakati zenu zama hizi. Mnaua ovyo kisa dini daah
Sidhani ni kweli kuhusu hiloWhen you Speak the truth about Islam = Islamaphobia.
π π π
"Harakati zenu" unafikiri mimi ni imani hiyo unayofikiri huu ni ujinga.
Ulisema ukristo hujawahi kuua mtu kisa imani yake umebadilika tena na kusema huna mpango na history. Unabadilika badilika kama kinyonga.
Haya turudi kwenye maswali ya post niliyoleta
Wewe una matatizo yako sio bure. Fear of the unknownUmepanic sana daah usije niua huchelewi kuwa gaidi
Wewe una matatizo yako sio bure. Fear of the unknown
Sbida huja pale waislam wanapofurahia mauaji ya jihad dhidi ya wakristo.Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.
Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.
Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.
Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?
Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?
Wakristo huwa hawana time na itikadi ya mtu. Wao jukumu lao ni kupenda, kuheshimu, kuishi na kuwajibika. Hayo mengine naona unawasingizia tu.Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.