Dini ya Ukristo inasifika kwa upendo lakini kwa nini wanachuki dhidi ya Uislam ya chini kwa chini?

hili ni big no hakuna kitu kama hicho kabisa ni mtazamo wa watu binafsi
 
Hivi ukristo uliwahi kuua kwa ajili ya imani wakati gani? Achana na huu ukristo-upagani hybrid by the name of Catholicism. Maana hata sisi Wakristo hatuutambui kama ukristo kwa sababu hautumii Biblia kama nguzo kuu ya muongozo wa imani yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…