Dini zimefanywa biashara, michango imekuwa mingi

bwege nani sasa kama sio wewe[emoji23][emoji23]

wewe sheikh kisomo cha 40 huwezi faidika sababu sio sheikh wa saudia ulipo mji unaouita mtakatifu,endelea kuchomwa jua,acha masheikh wa macca wenye hotel wale maisha na serikali ya saudia iendelee kukuza uchumi,wewe endelea kunuka mdomo hapo msikitini[emoji23][emoji23][emoji23]
hoja huna bwege wewe.ukiristo nibiashara nahoja tunazo kizazi wewe
 
Unakosea mkuu shida ninyi hamkuwekeza zaidi dini yenu haijawa shape kujitolea kwa moyo muna umimi sana ndio maana mpaka leo ukienda baadhi ya misikiti mikeka imechanika lakini hamuwezi kurekebisha kwasababu tu mnategeana fulani afanye au mpaka msikiti utaangaze mchango
 
nawewe si uifanye sasa kuliko hiyo ya kuuza mwili unayoifanya[emoji23][emoji23].

kama mwamposa ameingiza milioni 900 kwa usiku mmoja pesa ambayo hata bakwata hawaijui kwanini nawewe usimuige kama ni rahisi tu!!!
 
hawa ndio viazi kwa hela hawakawii kurogana,angalia yalitotokea mwanza juzi ishu ni maslahi tu pale[emoji23][emoji23]
 
sawa ilaukiristo ni biashara mkuu.
 
Kaka hujakatazwa kuhama dini tafuta unayo ona itakufaa

Upeoteza sh ngpa Kwa Uzinzi???

Umepoteza sh ngp kwey Pombe?

Umehonga sh ngp?

Elf 25 tu mishipa ya shingo imekutoka?
 
sawa ilaukiristo ni biashara mkuu.
Sio biashara mzee wekeza kwa watu niny hamjafundishwa kutoa ndio maana mkisikia sadaka imefika milion 5 kwa misa moja mnapagawa ninyi mmeshazoea kuoa 50 mia miambili

Mimi najua nguvu ya sadaka na zaka

Leteni ghalani mwangu zaka yote, ili nyumbani mwangu kuwe na chakula cha kutosha. Kisha mwaweza kunijaribu. Nijaribuni namna hiyo nanyi mtaona kama sitayafungua madirisha ya mbinguni na kuwatiririshia baraka tele.

Wengi tu atembea humo mkuu acha kabisa ninyi wagumu kijitolea ndio maana wengi masikini
 
Salaam!

Mimi nafikirishwa sana na hizi dini za leo za kizungu, binafsi mimi ni mkatoliki lakini naona uchafu uchafu tu.

Hawa wakristo tuwape muda tu hii karne ya 21 ikipita najua hatuta kuwepo wengi humu ila ukristo utakuja kuwa kituko cha karne (22) kutokana na yale tunayo yaamini viongozi wetu wanatuletea mapicha picha ya kutufanya sisi ni misukule yao.

Nimejiuliza swali moja tu mimi kama baba mlezi mtoto alifika hatua ya kipaimara, nikaambiwa eti nitoe shilingi elfu 25,000 ili mtoto akae pamoja na askofu. Yaani yeye askofu anakuja kukaa na watoto hiyo siku ya kipaimara wanakula pale sahani ya wali na soda na stori mbili tatu afu imeisha hiyo. Mimi kipaimara changu hakikuwa hivi sasa hii elfu 25 ni ya nini? Mamichango ya zaka ni lundo.

Kidogo nisahau kuuliza hili swali?

Hivi wakuu na huko kwenye uislamu ni hivi hivi?
Kipa imara ni Aishi manula tu
 
hawa ndio viazi kwa hela hawakawii kurogana,angalia yalitotokea mwanza juzi ishu ni maslahi tu pale[emoji23][emoji23]
Ahaha shida hawajafunzwa kujua humuhimu wa sadaka mtu mfukoni ana 5700 anaenda toa 200 msikitin
 
nawewe si uifanye sasa kuliko hiyo ya kuuza mwili unayoifanya[emoji23][emoji23].

kama mwamposa ameingiza milioni 900 kwa usiku mmoja pesa ambayo hata bakwata hawaijui kwanini nawewe usimuige kama ni rahisi tu!!!
uislamu sio biashara mkuu.tukishajenga mskiti ukawa namaji tukamlipa ustadh wetu wakufundisha watoto hatuna mengine.

zaidi muumini akiwa nasadaka yake anatoa kama hana basi.
mashehe nimarufuku kutegemea sadaka ama zaka ama mchango wowote lazima wafanye kazi kujiingizia kipato

Sasa nyie maramufuge miparako kanisani mara mufuge misista kanisani ujinga ganihuu mnafanya?☹️☹️

hio misista namiparoko ikikaa vikaovyao kanisani midayasaamoja inakunywa nabia humohumo daaah☹️pombe kwenu si h.aram?
 
Pombe ata mudi alikunywa
 
Sasa nyie maramufuge miparako kanisani mara mufuge misista kanisani ujinga ganihuu mnafanya?[emoji3525][emoji3525]

hio misista namiparoko ikikaa vikaovyao kanisani midayasaamoja inakunywa nabia humohumo daaah[emoji3525]pombe kwenu si h.aram?

leo nilikuwa na somo la kukuelewesha nibkwa namna gani uislam ni biashara,tena ni mbaya sababu wanufaika wakubwa ni waarabu,wewe abdul kobaz hakuna kitu unaambulia.

kama umekiri waalimu wanalipwa na wazazi kwa kufundisha watoto DINI,kipi kinakuuma masister na mapadre wakilelewa kwa sadaka!!!au kwa vile wanalelewa kwa raha tofauti na akina mazinge wanaouza alkasus na kuswalisha!!!

pombe ni kharam kama ilivyo uzinzi,kama unampa sadaka sheikh anaenda kuzagamua mashoga unadhani hilo ni swala lako tena au yeye na Mungu wake!!!
 
Back
Top Bottom