leo nilikuwa na somo la kukuelewesha nibkwa namna gani uislam ni biashara,tena ni mbaya sababu wanufaika wakubwa ni waarabu,wewe abdul kobaz hakuna kitu unaambulia.
kama umekiri waalimu wanalipwa na wazazi kwa kufundisha watoto DINI,kipi kinakuuma masister na mapadre wakilelewa kwa sadaka!!!au kwa vile wanalelewa kwa raha tofauti na akina mazinge wanaouza alkasus na kuswalisha!!!
pombe ni kharam kama ilivyo uzinzi,kama unampa sadaka sheikh anaenda kuzagamua mashoga unadhani hilo ni swala lako tena au yeye na Mungu wake!!!