Dini zimefanywa biashara, michango imekuwa mingi

Dini zimefanywa biashara, michango imekuwa mingi

kamhudumie kipenzi chako mtume[emoji16][emoji16].

mwenyewe unagalagazwa unaanzaje kugalagaz mtu.
kahudumie mumeo Nisha kuambia.ukiendelea Kuni quote nitakutongoza hat kama wewe nimwanamke wakikafirina
 
ukiristo kwaujimla wake ni biashara.dini yaukweli niuislamu

kunakanisa mahalo mchungaji kuonana namuumini sikuambayo Sio yaibada ni elfu 60 nawaumini wanajazana Hadi wengine wanakosa nafasi yakumuona.

Sasa najiuliza mchungaji kashindwa kuwaombea kawaida Hadi aonane Nao mmojammoja?Tena kwaelfu sitini🤣🤣🤣
Kuhani musa kumuona tsh.100,000😎
 
Salaam!

Mimi nafikirishwa sana na hizi dini za leo za kizungu, binafsi mimi ni mkatoliki lakini naona uchafu uchafu tu.

Hawa wakristo tuwape muda tu hii karne ya 21 ikipita najua hatuta kuwepo wengi humu ila ukristo utakuja kuwa kituko cha karne (22) kutokana na yale tunayo yaamini viongozi wetu wanatuletea mapicha picha ya kutufanya sisi ni misukule yao.

Nimejiuliza swali moja tu mimi kama baba mlezi mtoto alifika hatua ya kipaimara, nikaambiwa eti nitoe shilingi elfu 25,000 ili mtoto akae pamoja na askofu. Yaani yeye askofu anakuja kukaa na watoto hiyo siku ya kipaimara wanakula pale sahani ya wali na soda na stori mbili tatu afu imeisha hiyo. Mimi kipaimara changu hakikuwa hivi sasa hii elfu 25 ni ya nini? Mamichango ya zaka ni lundo.

Kidogo nisahau kuuliza hili swali?

Hivi wakuu na huko kwenye uislamu ni hivi hivi?
Kwenye Uislam hakutakiwi tena kumekatazwa Misikiti kufanyiwa biashara lakini siku hizi kuna watu wachache wanaigeuza biashara. Tamaa inajiingiza kila mahali.

Misikiti ina afadhali kwani hakuna michango na sadaka za lazima. Wapo wanaopitisha kofia baada ya salat na wapo wanaotangaza michango aina mbali mbali, lakini yote hiyo ni ulaji wao na ujinga wao tu.

Hakuna biashara misikitini na hakuna sababu ya kuchangishana chochote.

Utakuta msikiti una nyumba ya/za wakfu imekodishwa halafu bado wanatembeza mchango wa kulipia bill ya maji au wa kununuwa umeme, ni ujinga tu.
 
ndio mana nikasema mumejikita kibiashara mnabisha nini Sasa?
Sisi hatutegemei misaada kutoka uko kwa waarabu kama ninyi

Kama msikiti mnaeneo kubwa mnashindwa kujenga ata day care ili watoto wapate elimu
 
Back
Top Bottom