Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio hio bibilia unayoitumia unajua imeandikwa na nani😂 unamjua king james wewe.Tangu nilipoelewa kuwa dini yangu hainishikii bango, fimbo, mjeledi, panga, mshale, kisu, bunduki, bomu wala sheria yoyote kuwa kumwabudu Mungu(Yawe, Yesu na Roho Mtakatifu) yani siyo lazima bali ni hiyari na nilianza kuona matokeo baada ya hapo, kamwe sitaki kuelewa dini ililetwa na nani, kwa faida ya nani, wala nani ana ulazima wa kuwa Mkuu Kiongozi Mkuu katika hiyo dini na dhehebu ninaloabudu.
Jinsi ilivyo kidunia yani kuzaliwa karibu na bahari, mto, ziwa siyo sababu ya kujua kupiga mbizi, ndivyo jinsi ufalme wa Mungu utavyomilikiwa na watakatifu wake.
JINSI UFALME WA MBINGUNI UNAVYOFANANA:
MATHAYO 13:44-50.
"[44]Tena ufalme wa mbinguni umefanana na hazina iliyositirika katika shamba; ambayo mtu alipoiona, aliificha; na kwa furaha yake akaenda akauza alivyo navyo vyote, akalinunua shamba lile.
[45]Tena ufalme wa mbinguni umefanana na mfanya biashara, mwenye kutafuta lulu nzuri;
[46]naye alipoona lulu moja ya thamani kubwa, alikwenda akauza alivyo navyo vyote, akainunua.
[47]Tena ufalme wa mbinguni umefanana na juya, lililotupwa baharini, likakusanya samaki wa kila namna;
[48]hata lilipojaa, walilivuta pwani; wakaketi, wakakusanya walio wema vyomboni, bali walio wabaya wakawatupa.
[49]Ndivyo itakavyokuwa katika mwisho wa dunia; malaika watatokea, watawatenga waovu mbali na wenye haki,
[50]na kuwatupa katika tanuru ya moto; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno."
Basi kupanga ni kuchagua, ikiwa unataka kumwabudu Mungu mpaka Kiongozi wa hiyo dini awe Mwafrika kazi kwako, ila ukiwa unataka nuru halisi ya wokovu kuhusu Mungu muumba mbingu na nchi, hayo mengine hayahusiani kabisa.
Ndiyomaana wawezaona Israel iliyotangulia kupata nuru ya kumjua Mungu halisi, bado wapo wasiotaka kumsikia hata huyo Mungu na wanampinga kwa nguvu zote sababu ya utukutu wao tu, ni sawa na jinsi sheria za kidunia zinavyokataza watu wasiue, wasiibe lakini kila siku watu huendelea kujihusisha na huo uhalifu, halikadhalika ndivyo ilvyo katika kumcha Mungu imekuwa tatizo kwa baadhi yetu sisi Binadamu.
Yesu yupo, tumeshuhudia kazi zake na tunazidi kuzishuhudia anavyojitangaza utukufu wake, na lazima injili ienee duniani kote na kila goti litapigwa mbele zake Mungu kukiri na kuamini hakika Mungu anastahili kuabudiwa duniani na mbinguni kote.
Yesu ni blackYesu siyo muarabu ni Myahudi. Uislamu ni agano la kale la Biblia. Uislamu ulianzishwa na mapadre watano wa kikatoliki walioasi kanisa katoliki miaka 500 baada ya Kristo.
NGOJA NIMPE HINT kidogo about king JAMESHio hio bibilia unayoitumia unajua imeandikwa na nani😂 unamjua king james wewe.
Hi dunia inasiri nzito sana afu nyingi sana ,nikuambie tu ukwi the only way u can see God is through pinel only.
Nina machache kati mengi ninayojua kuhusu hi dunia ukiyajua utabaki dilema tu
Nani kasema kaka.Yesu ni black