Dini zinatuchanganya sana. Ni yapi ni mazishi sahihi kati ya Dini zote na madhehebu yote,Ikiwa lengo ni kwenda peponi/Mbinguni?

Umeongelea Kuamini (Imani) na sio Facts (Factual) alafu unategemea jibu moja kutoka kwa waumini tofauti ?

Hapo logic itakwambia hakuna ukweli wowote utakaopata hapo kutoka kwenye Imani ingawa what is known ni kwamba ukifa unabadilika kuwa chakula cha vingine (that's how nature does its recycling)
 
Kama ni mkristo biblia imeweka wazi kwamba mwili uaozikwa siyo ule utakaofufuka. Mtume Paulo alisema hilo wazi. Kwa hiyo uzikwe kwa mazishi yoyote, ujengewe na kaburi la kifahari hutafufuka na na mwili uliozikwa nao!
 
Nomba hilo andiko hapa mkuu
 
Kwakweli ni changanyikeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…