Dini zinatuchanganya sana. Ni yapi ni mazishi sahihi kati ya Dini zote na madhehebu yote,Ikiwa lengo ni kwenda peponi/Mbinguni?

Dini zinatuchanganya sana. Ni yapi ni mazishi sahihi kati ya Dini zote na madhehebu yote,Ikiwa lengo ni kwenda peponi/Mbinguni?

Umeongelea Kuamini (Imani) na sio Facts (Factual) alafu unategemea jibu moja kutoka kwa waumini tofauti ?

Hapo logic itakwambia hakuna ukweli wowote utakaopata hapo kutoka kwenye Imani ingawa what is known ni kwamba ukifa unabadilika kuwa chakula cha vingine (that's how nature does its recycling)
 
Kama ni mkristo biblia imeweka wazi kwamba mwili uaozikwa siyo ule utakaofufuka. Mtume Paulo alisema hilo wazi. Kwa hiyo uzikwe kwa mazishi yoyote, ujengewe na kaburi la kifahari hutafufuka na na mwili uliozikwa nao!
 
Nomba hilo andiko hapa mkuu
 
Umeenda mbali sana mbona

Ungeanza kufikiria tuu ni IPI DINI YA KWELI AU DHEHEBU LA KWELI.

Kila dini imejinadi yenyewe ndo ya kweli.

Kama wewe sio Mkristo basi moto unakuhusu

Pia uislam nao uko hivyo hivyo kama wewe sio mwislam basi motoni moja kwa moja
Kwakweli ni changanyikeni
 
Back
Top Bottom