atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,786
- 3,522
Aliekwambia dunia mzima ni wakristo nani? Kuna watu pia hawaamini katika dini yoyoteUkisema tamaduni za kijani Fulani. Huoni Sasa sisi wakristo ni Dunia nzima ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliekwambia dunia mzima ni wakristo nani? Kuna watu pia hawaamini katika dini yoyoteUkisema tamaduni za kijani Fulani. Huoni Sasa sisi wakristo ni Dunia nzima ?
Kuna ambao hawana hii ibada baada ya siku 40.. wakishazika ndo imeisha hiyoNi sahihi kwanini baada siku40 Huwa Kuna ibada Tena?
Nomba hilo andiko hapa mkuuKama ni mkristo biblia imeweka wazi kwamba mwili uaozikwa siyo ule utakaofufuka. Mtume Paulo alisema hilo wazi. Kwa hiyo uzikwe kwa mazishi yoyote, ujengewe na kaburi la kifahari hutafufuka na na mwili uliozikwa nao!
Kwakweli ni changanyikeniUmeenda mbali sana mbona
Ungeanza kufikiria tuu ni IPI DINI YA KWELI AU DHEHEBU LA KWELI.
Kila dini imejinadi yenyewe ndo ya kweli.
Kama wewe sio Mkristo basi moto unakuhusu
Pia uislam nao uko hivyo hivyo kama wewe sio mwislam basi motoni moja kwa moja
Aisee ahsante sana nilikuwa sijui.Nitawafuatilia kwa kina hasa nikipata kiongozi wao lakini nahisi wengi wao ni wahindi sio?Wanaamini kuchoma ni kuisaidia au kuirahisishia roho/nafsi kuelekea katika maisha mengine yanayofuata kwa wepesi.
Ndio, kwa Tanzania wengi wao kama sio wote kabisa ni Wahindi.Aisee ahsante sana nilikuwa sijui.Nitawafuatilia kwa kina hasa nikipata kiongozi wao lakini nahisi wengi wao ni wahindi sio?