Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Nani kakuambia jua halimove, iyo sayansi ya wapi? Hakuna mwanasayansi hata mmoja anaesema jua liko stationary, HAKUNA. Kama una mmoja nileteeKawaulize madogo WA form two watakuelezea, kama ulikimbia shule.