Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Uislamu upo hadi sasa na waislamu wanaishi na wasio waislamu tena wengine ndugu kabisa na hushirikiana katika mambo mbalimbali, hata hapa nchini kwetu Tz ni mfano hai waislamu na wasio waislamu kuishi pamoja na kwa amani ndivyo wanavyoishi.Mwaka 1839 jamii ya wayahudi wa Mashhad walipewa option kati ya kusilimu au kufa
Is this how religion of peace does?