Dini zingesambazwa kama ambavyo Atheism inasambaa sidhani kama zingekuwa na wafuasi wengi hivi

Yani Yoshua kasimamisha jua, wakati jua lenyewe limesimama. Au hapo zamani jua lilikuwa Linamove, na Joshua ndiye aliyelisimamisha??
Wewe una uhakika gani kama Jua hali move?

Umetafiti? Au umeambiwa tu ukaamini
 
Namna ambavyo Atheism inasambaa ulimwenguni kwa sasa kadiri miaka inavyo songa katika njia ya amani inanipa faraja na kusema hii ndio njia ambayo dini ilipaswa kuitumia.

Huwezi kuta Atheists wanatumia nguvu kubwa kama vita, kuchinja watu, kulipua watu ili wasiamini kuwa kuna Mungu lakini haya matendo yasiyo ya kistaarabu yamefanywa sana na dini mbalimbali ili Mungu wao na mafundisho yao yaaaminiwe na kukubalika vizazi na vizazi.

Mafundisho ya vitisho vingi wamejaa katika usambazaji wa dini tofauti na njia ya amani haya matendo huwezi kuta Atheists wanafanya kulazimishwa watu .

Kuwa atheist imekuwa njia rahisi sana na inayo kubalika na kukua kwa kasi katika maeneo mbalimbali kwa sababu kinacho hitaji ni kuwa huru kufungua uwezo wako wa kiakili, elimu na kuwa huru kuhoji basi ni rahisi kuwa atheist hii ni tofauti na dini.

Dini zingetumia njia ya amani sidhani kama ingekuwa rahisi wao kujipatia wafuasi hawa wengi walio nao

Hakuna dini hata moja ambayo haijamwaga damu.

Judaism , Christianity and Islam hazina tofauti na institutions za Hilter, Hiroshima , Vietnam war , Nuremberg etc etc zote zimefanya bloodshed ya kutosha, what the difference?

Killing is killing and unethical , JINAI!

Kama kuna mtu dini yake haijaua watu aje hapa abishe, Msifiche hii kitu wekeni wazi.

Dini zimeua thousands of civilians with justification of killings , what the Hell!

What kind of God ana entertain bloodshed among the other things,

What is ethical dilemmas between religions and other institutions such as Nuremberg Concentration Camp, Vietnam War , Afaghastan , Iraq and Russia- Ukraine War ?

According to theory of Deontology ( the moral principals and Fundamental Character Ethics ) killing is bad and unethical consideration no matter what .

But hizi dini zinajustify killings ili kufanya zionekane hazikufanya makosa:

kuna haja ya kufanya TRIALS for Crimes zilizofanywa na hizi dini kama ilivyokuwa kwa ile Nuremberg Trials against Nazi Physicians who conducted unethical medical experiments kwenye concentration camps, ikiwemo kuwanyima watu pumzi, kugandisha watu alive, injection of lethal chemicals observing the death process, injection of cancer cells etc etc na kusababisha thousands of death ….. hakuna tofauti na hizi dini …. Zote ni killings

Dini ni source of hate, Stigma, discrimination and enslavement

You can’t convince me Xtian ana mdiscriminate Muslims , and vice versa au Muslim anaita his fellow human being KAFIR ambaye anamuona in a physical way , huku ana praise God ambaye hamuoni …… hiyo ni aina nyingine ya mental disorder

Each of which claims to be true , Xtian claims the only way to heaven is through Jesus Christ, Muslims claims no one will enter Janah( heaven ) except being Muslims , and our crazy jews claims they are the ONLY chosen people of God [emoji38]

Everyone claims for the truth … they are branches of the same tree
 
Tatizo msio na dini hatuoni hiyo mifano yenu ya amani na upendo ili tujifunze.
 
Inasmbazwa,ipo kwenye new world order pamoja na ushoga,inasmbazwa kupitia nadharia za kisayansi,ukishasimama kusema hakuna Mungu vitu vyote vimetokea kwa mlipuko tu,hapo unahubiri atheism hata Kama huna msikiti Wala kanisa
Hakuna Atheism inayosema vitu vimetokana kwa mlipuko.

Atheism ni lack of beliefs
 
Unataka upendo gani mkuu

Be free
Umesema sisi watu wa dini tunauwa, tunachukiana na kuitana makafiri na ndio nasema japo tungeona jinsi msio na dini mnavyoishi vizuri kwa upendo na amani tungejifunza kutoka kwenu.
 
Nina list ya masheikh ambao ni mashoga utapo hitaji muda wowote niambie nikupatie uwaone.

Lakini kabla ya kufika huko kwanza ebu nipe tafsiri ya hii hadithi kwenye sehemu ambayo imezungushiwa duara lekundu

View attachment 2889158

Kwasababu inasema mtume alikuwa akibusu uume wa vijana wadogo Hassan na Hussen

Je hiyo sio homosexual?

Tuachane na hayo ambayo sipendi kujadili kwasababu ya kimaadili ila mnapoamua kutumia kama silaha ya kutuchafua sometimes inabidi tu respond ili kuweka nidhamu sawa.

************

Unapinga kuwa dini hazijaenea kwa vita?

Islam spread by sword.

Vita haikuhusisha kushambuliwa bali ilikuwa ni kulazimisha watu wasilimu kwa kutumia mabavu.

Silimu Usalimike
 
Dini kama zingetumia nguvu africa zingetoka kama mkoloni ...Dini zilikuja na nasaha ni mpango wa Mungu kusambaa ...Watu wameacha tamaduni zao miaka sembuse dini miaka kibao wangeachana nazo.

Sasa kaangalie dini ipi inakuwa zaidi? Yaani wanadai zimeanzia mashariki ya kati ila mpaka America zimefika....je Wazungu ni dhaifu mpaka kuingia kweny dini😅😅
Nafikiri hoja uliyopaswa kuwasilisha ilipaswa kuwa hivi

Kama kweli dini ni mpango wa Mungu na Mungu yupo kweli, kwanini Mungu asifanye kila mtu ajue dini bila kutangaziwa na mtu?

Kuna mamilioni ya watu waliokufa kabla hata ya ujio wa dini.

Kwanini Mungu awe mkatili kiasi hiki kwa kuwatenganisha watu wake wasipate neema ya kuijua dini wakati alikuwa na uwezo wa kuwafanya wajue dini bila kuwategemea hao watu kutoka mbali?

Na Mungu alituma watu wangapi kutuletea dini, mbona tuna dini nyingi ambazo zinapingana, huoni kuepusha huu utata njia nyepesi ilikuwa ni yeye kumfunulia kila mmoja ajue dini na kuanzia hapo kusingekuwa na dini zaidi ya moja?
 
Nina list ya masheikh ambao ni mashoga utapo hitaji muda wowote niambie nikupatie uwaone.

Lakini kabla ya kufika huko kwanza ebu nipe tafsiri ya hii hadithi kwenye sehemu ambayo imezungushiwa duara lekundu

View attachment 2889158

Kwasababu inasema mtume alikuwa akibusu uume wa vijana wadogo Hassan na Hussen

Je hiyo sio homosexual?

Tuachane na hayo ambayo sipendi kujadili kwasababu ya kimaadili ila mnapoamua kutumia kama silaha ya kutuchafua sometimes inabidi tu respond ili kuweka nidhamu sawa.

************

Unapinga kuwa dini hazijaenea kwa vita?

Islam spread by sword.

Vita haikuhusisha kushambuliwa bali ilikuwa ni kulazimisha watu wasilimu kwa kutumia mabavu.
Kwahiyo waislamu hawakuwa wakiishi na wasio waislamu waliwalazimisha kwa upanga wawe waislamu?
 
Back
Top Bottom