AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,880
- 8,424
Karbu.I will soon declare to be an atheist!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karbu.I will soon declare to be an atheist!
Hilo hitimisho ni kwa mtazamo wako tu au uamuzi wako kwa maana wapo watu wanaamini Mungu na vitabu vya dini ila wanakiri penye utata wa maandiko ya kwenye vitabu ila hawajahitimisha hakuna Mungu.Kinachofanya watu waseme Mungu hayupo ni maandiko (matakatifu)
Hayo maandiko ukiyasoma logically utagundua yanapinganapingana, hivyo lazima uhitimishe kwa kusema Mungu hayupo.
Lakini unatakiwa ujue haya maandiko hasa biblia, imecopy sana mafundisho ya watu WA kale (semerians).
Ukifatilia story za hao sumerians utagundua ni kama cheo Cha urais kwa anunaki, yaani mkuu wa anunaki.
Lakini huyo Mungu siyo muumbaji wa hii Dunia Wala viumbe, wao walitufanyia modification tu kutoka homoeructus kwenda homosapiens kwa kutuwekea DNA zao.
Unawajua waliotengeneza pyramids??
Nenda YouTube kamsearch Billy Carson, mtafiti wa hayo mambo Kuna kitu labda utaelewa
Njia yoyote ya maisha utakoishi ni dini.Dini ni neno la kiarabu,maana yake Njia ya maisha.Kwa hiyo njis yoyote ya maisha utakayofuata ni DINI,na ndio DINI yako hiyo.Namna ambavyo Atheism inasambaa ulimwenguni kwa sasa kadiri miaka inavyo songa katika njia ya amani inanipa faraja na kusema hii ndio njia ambayo dini ilipaswa kuitumia.
Huwezi kuta Atheists wanatumia nguvu kubwa kama vita, kuchinja watu, kulipua watu ili wasiamini kuwa kuna Mungu lakini haya matendo yasiyo ya kistaarabu yamefanywa sana na dini mbalimbali ili Mungu wao na mafundisho yao yaaaminiwe na kukubalika vizazi na vizazi.
Mafundisho ya vitisho vingi wamejaa katika usambazaji wa dini tofauti na njia ya amani haya matendo huwezi kuta Atheists wanafanya kulazimishwa watu .
Kuwa atheist imekuwa njia rahisi sana na inayo kubalika na kukua kwa kasi katika maeneo mbalimbali kwa sababu kinacho hitaji ni kuwa huru kufungua uwezo wako wa kiakili, elimu na kuwa huru kuhoji basi ni rahisi kuwa atheist hii ni tofauti na dini.
Dini zingetumia njia ya amani sidhani kama ingekuwa rahisi wao kujipatia wafuasi hawa wengi walio nao
Mungu kuwepo au kutokuwepo atajijua mwenyewe, angetaka tujue uwepo wake (kama kweli yupo) angekuja tumuone anafananaje na hata dini ingekuwa Moja.Hilo hitimisho ni kwa mtazamo wako tu au uamuzi wako kwa maana wapo watu wanaamini Mungu na vitabu vya dini ila wanakiri penye utata wa maandiko ya kwenye vitabu ila hawajahitimisha hakuna Mungu.
Nionyeshe wapi waislam walianzisha vita? Kwenye hadith au Quran?Lakini mkuu Uislamu tu alama yao ni Upanga, Je unaweza tuambia upanga unamaanisha nini??
Waislamu wakienda kuoa wanaweka jambia kiunoni, je kazi yake nini?
Mtu akiwa shoga wewe inakusumbua nini..Inasmbazwa,ipo kwenye new world order pamoja na ushoga,inasmbazwa kupitia nadharia za kisayansi,ukishasimama kusema hakuna Mungu vitu vyote vimetokea kwa mlipuko tu,hapo unahubiri atheism hata Kama huna msikiti Wala kanisa
F uI will soon declare to be an atheist!
Ni nani sasa mtawala wa dini?Rudia nisome vizuri.
Kwakifupi dini ni mfumo wa kubrainwash watu ili iwatawale.
Binadamu ana uwezo mkubwa kuliko dini
Sasa nikujibu masuala ya silaha za vita huko mbinguni inasaidia nini katika hii mada au tuanze kubishana bila kuwa na hoja ya msingi?Mungu kuwepo au kutokuwepo atajijua mwenyewe, angetaka tujue uwepo wake (kama kweli yupo) angekuja tumuone anafananaje na hata dini ingekuwa Moja.
Mbona hujibu swali langu kuhusu silaha zilizotumika vita vya mbinguni
Hakuna pasipo na utapeli mkuu popote unaweza kufanya utapeli, watu wanafanya utapeli hadi hospitali ndio itakuwa dini.Dini ni utapeli
Haujaelewa nini? Au umeamua kukaza fuvu.Sasa nikujibu masuala ya silaha za vita huko mbinguni inasaidia nini katika hii mada au tuanze kubishana bila kuwa na hoja ya msingi?
Unakwepa kujadili atheists na madai yao ya kwamba hakuna Mungu ila unataka kujadili masuala ya dini.
Huo ni utamaduni wa Wayemen na Waoman ambao walitutawala kipindi Cha kale na kuweza kusambaza utamaduni wao kwa watu weusi na sehemu mbali mbali ulimwenguni.Lakini mkuu Uislamu tu alama yao ni Upanga, Je unaweza tuambia upanga unamaanisha nini??
Waislamu wakienda kuoa wanaweka jambia kiunoni, je kazi yake nini?
Dini inahusisha na kuabudu/kusujudu kwa kiumbe au kitu unachodhani kina nguvu kukuzidi ziwe za asili au zisizo za kawaida.Njia yoyote ya maisha utakoishi ni dini.Dini ni neno la kiarabu,maana yake Njia ya maisha.Kwa hiyo njis yoyote ya maisha utakayofuata ni DINI,na ndio DINI yako hiyo.
Mkuu hili Swala lako la siraha linachachangamsha akili.Mungu kuwepo au kutokuwepo atajijua mwenyewe, angetaka tujue uwepo wake (kama kweli yupo) angekuja tumuone anafananaje na hata dini ingekuwa Moja.
Mbona hujibu swali langu kuhusu silaha zilizotumika vita vya mbinguni
Nataka nijue walitumia silaha ya maombi/Sala au mikuki/bunduki, etcMkuu hili Swala lako la siraha linachachangamsha akili.
Kuchokonoa tundu la taka si kitu Cha kushangaza!?..mgongaji kugongwa si kitu Cha kushangaza!?Mtu akiwa shoga wewe inakusumbua nini..
Sawa sawa kushangaa mtu asiye na dini
Ni kweli kabisa, mfumo mzima wa elimu ya sekula ni kuwaweka watu mbali na imani ya kumuamini Allah.Inasmbazwa,ipo kwenye new world order pamoja na ushoga,inasmbazwa kupitia nadharia za kisayansi,ukishasimama kusema hakuna Mungu vitu vyote vimetokea kwa mlipuko tu,hapo unahubiri atheism hata Kama huna msikiti Wala kanisa
Agnostic wao wanatumia nini katika msimamo wao? Kama Atheists husema kwa kujiamini hakuna Mungu je agnostic nao unawazungumziaje?Haujaelewa nini? Au umeamua kukaza fuvu.
Nimekwambia logically Mungu hayupo. Atheists wanatumia wanatumia logic ndo mana wanasema hivyo. Na Mimi naunga mkono.
Nikakwambia Tena, ukifatilia historia za kale (sumerians, Egyptians, etc) utapata mwanga wa kumjua huyu tunayemwita Mungu ni nani.
Nikasema, huyu tunayemwita Mungu siyo Muumba wa Dunia na vilivyomo (binadamu). Mana yake siyo Mungu.
Naamini hii Dunia Ina mwanzo. Huu mwanzo wake me napenda kuuita mother nature. Nikisema Mungu yupo namaanisha naamini kwamba hii Dunia Ina mwanzo wake, lakini simaanishi kwamba huyo Mungu ndiye aliyeumba
Nikikutana na watu wanaotumia zaidi logic, huwa nasema kwa kujiamini Mungu hayupo, ila nikikutana na ndugu zangu watu kanisani namtaja sana Mungu, lakini moyoni mwangu nikisema Mungu, namaanisha ninaamini Dunia ilikuwa na mwanzo na siyo kama mnavyomaanusha nyie mkimtaja Mungu
Halafu kwanini iwe kwamba neno moja ila kila mtu atumie kwa tafsiri yake? Kwani neno Mungu lina maana gani au kuna ulazima gani wewe utumie neno Mungu ila ukakusudia kitu kingine kabisa tofauti na ilivyozoeleweka?Haujaelewa nini? Au umeamua kukaza fuvu.
Nimekwambia logically Mungu hayupo. Atheists wanatumia wanatumia logic ndo mana wanasema hivyo. Na Mimi naunga mkono.
Nikakwambia Tena, ukifatilia historia za kale (sumerians, Egyptians, etc) utapata mwanga wa kumjua huyu tunayemwita Mungu ni nani.
Nikasema, huyu tunayemwita Mungu siyo Muumba wa Dunia na vilivyomo (binadamu). Mana yake siyo Mungu.
Naamini hii Dunia Ina mwanzo. Huu mwanzo wake me napenda kuuita mother nature. Nikisema Mungu yupo namaanisha naamini kwamba hii Dunia Ina mwanzo wake, lakini simaanishi kwamba huyo Mungu ndiye aliyeumba
Nikikutana na watu wanaotumia zaidi logic, huwa nasema kwa kujiamini Mungu hayupo, ila nikikutana na ndugu zangu watu kanisani namtaja sana Mungu, lakini moyoni mwangu nikisema Mungu, namaanisha ninaamini Dunia ilikuwa na mwanzo na siyo kama mnavyomaanusha nyie mkimtaja Mungu