jovas jonathan
Senior Member
- Apr 7, 2019
- 193
- 275
Duh, we msomi wa Aina gani, kwamba atheist anauguzwa na mkristo, kwamba ukiuguwa wauuguzi wako atakuwa wakristoKwanza atheism si dini, hivyo haina mtume wala "mtu wetu".
Pili, hizo habari hazithibitishiki. Yani kuna nesi aliripotiwa kusema kuwa Voltaire alisema hivyo wakati anakufa. Nurse hana hata mtu wa pili kuwa shahidi wa ku corroborate story. Maana yake nesi anaweza kuwa muumini aliyetaka kupandikiza maneno kwa Voltaire tu.
Hearsay, baseless, unfounded, unverified, uncorroborated claim.
Lakini zaidi ya yote, hata kama Voltaire alisema hayo kweli, atheism haiendeshwi na maneno ya mtume mmoja, kila mtu ana akili zake na anapima mambo kimantiki mwenyewe. Na Voltaire kafa zamani sana wakati mambo mengi hayajagunduliwa, kwa nini tujali alichosema Voltaire?
Hizo tabia za kujali walichosema mitume wa zamani ni tabia za dini. Hizo ndizo tabia ambazo atheists wanazikataa katika dini.
Sasa kwa nini unataka kuturudisha katika dini kusujudia maneno aliyoyasema mtu aliyekufa mwaka 1778?
Kumalizia, moja ya vitu ninavyopenda katika atheism ni kukataa logical fallacy ya appeal to authority. Tunakataa authority ya Mungu, mitume, Voltaire. Tunakwenda na reason.
Sasa katika ulimwengu huo, hata ukimchafua Voltaire, hilo si muhimu kwetu, kwa sababu hatuendi kwa authority ya mtu, tunajua kufuata authority ni logical fallacy.
Tunakwenda kwa reason.
Unakataa historia we msomi gani, unafiki ndio unatumaliza
Hata ulivyovisoma vyote ni taka taka hata hiyo atheism no tatakataka maana Ina historia