Dini zingesambazwa kama ambavyo Atheism inasambaa sidhani kama zingekuwa na wafuasi wengi hivi

Atheist ni mashoga nyuma ya pazia hapa ndio wanapata mwavuli wa kujificha
Una ungunisha vitu viwili tofauti kuunda hitimisho potofu.

Hakuna uhusiano wowote wa ushoga na Atheists.

Kulingana na mafundisho yenu ya kidini je Sodoma na Gomora walikuwa Atheists hadi wakawa wanakulana?

Hujawahi kusikia habari za ushoga kwenye kanisa katoliki?

Mapadri wakilawiti watoto wadogo?

Misikiti kwenye madrasa masheikh wakilawiti watoto?

Sasa niletee uthibitisho wowote ule wa Atheists anayefanya mambo kama haya au hata habari yeyote ya Atheist kulawiti watoto.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kuelezea mbinu zenye kufanya atheism kusambaa?
 
Utamjuaje atheist ikiwa huwa tunaangalia jina la mtu kudhania dini yake sasa huyo atheist utamjuaje?
 
Ungekuwa umesoma usingekuwa una uliza maswali haya
Najua unadhani uzi wako umejibu nilichokiuliza ila sivyo, umetaja tu kuwa vitu vyenye kuhitajika kwenye atheism ni kufungua akili na elimu vitu ambavyo vimekuwepo miaka yote ndio maana iweje sasa hivi ndio atheism isambae kwa wingi tofauti na zamani?
 
The funny thing about Christianity they tooth and nail recruit people to follow them

Wanasema wametumwa na "bwana"

These people are the worst
 
Kasome vizuri madesa Yako Atheist Kuna Nchi nyingi tu imesambazwa kwa Force na watu kuuliwa Refer, Urusi, China etc, Stalin kaua mamilioni ya watu kupambana na Dini.
 
Atheists are those who don't believe in God. How possible? It means no first cause at all!! There must be "A Supreme being ". Myself I don't believe in Christianity or Muslim but I'm not an Atheist.
Wenzio huchukulia kuwa atheist ni kuwa mtu uliyefungua akili, ni jambo kubwa sana kwao ni level ya juu ya mtu mwenye uelewa mkubwa.

Hata mimi huwa nasema kama nikiwa atheist basi sitotumia hizo hoja zao maana ni nyepesi sana hazishawishi kabisa ni hoja za mtu aliacha dini na kujikuta kaangukia kwenye atheism.
 
Mkristo ni Nani Tuanzie hapo
 
Atheists are those who don't believe in God. How possible? It means no first cause at all!! There must be "A Supreme being ". Myself I don't believe in Christianity or Muslim but I'm not an Atheist.
Wwe ni mpagani kwa mujibu wa hizo dini mbili.
 
Kasome vizuri madesa Yako Atheist Kuna Nchi nyingi tu imesambazwa kwa Force na watu kuuliwa Refer, Urusi, China etc, Stalin kaua mamilioni ya watu kupambana na Dini.
Wewe leta hiyo historia ya watu kulazimishwa kuwa Atheists Urusi na China au unachanganya utekelezaji wa ukomunisti kisiasa
 
Sasa kama umesoma mbona unauliza maswali ya ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…