so sad
Too bad washamba ndio wako ngazi za maamuziAfrika tuna ushamba wa madaraka
Inamaana waliopembezoni ya nchi ni wa maporini, sauti zao hazina matokeo wala maana yoyote katika jema au zuri?Eti jamani ???
Mwenezi wa CHADEMA shamba huko pembeni ya nchi na simu yake moja inayopiga picha anakutisha kweli jamani jamani jamani ???
Mnamiliki mabilioni ya hela, ma silaha, mnamiliki ofisi ya kutangaza matokeo ya uchaguzi nafasi yeyote muda wowote nchini, sasa hawa vijana wana tishio gani la kuwatoa uhai jamani jamani jamaniiiii ????
Binadamu gani hawa wenzetu hawa ?
Inamaana waliopembezoni ya nchi ni wa maporini, sauti zao hazina matokeo wala maana yoyote katika jema au zuri?
Yes ikitokea watu wa hiyo mikoa wakidai haki zao za msingi wapuuziwe kwasababu ya coverage ya media market kuwa ndogo kwao?Hayupo kwenye media market kubwa. Kwa hiyo hana visibility kubwa. Wengi hawamjui.
Unamwogopa wa nini ?
Impact yake kwa serikali inapungua unless amekuwepo muda mrefu.
Maana yake hakua threat so kulikua hakuna haja ya kumuua. Maana influence yake ilikua ni eneo dogo tu la Rukwa/Katavi.Yes ikitokea watu wa hiyo mikoa wakidai haki zao za msingi wapuuziwe kwasababu ya coverage ya media market kuwa ndogo kwao?
View attachment 3570345
Julai 26, 2024 Dioniz Kipanya, Mwenezi wa CHADEMA Rukwa, alipigiwa simu akaenda. Hajaonekana tena.
Alikuwa amerekodi video na kupost msafara mrefu wa magari ya Rais ziara ya Rukwa.
Leo ndio mnasema mnapunguza msafara wa magari ???
1 WAFALME 21 :19
“Nawe utamwambia, Bwana asema hivi, Je! Umeua, ukatamalaki?
Nawe utamwambia, Bwana asema hivi, Mahali pale walipolamba mbwa damu ya Dioniz Kipanya, ndipo mbwa watakapoilamba damu yako, naam, yako mwenyewe.”
Inasikitisha..Too bad washamba ndio wako ngazi za maamuzi