Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Unakuta mtu ana D zake mbili. Anaenda chuo, labda cha kilimo au afya. Anapiga mwaka mmoja Anapewa certificate. Hapo anaweza kwenda kuajiriwa nk. Lakini akiongeza mmoja anakuwa na Diploma. Sasa hii diploma inakuwaje?
Maana kawaida syllabus ya diploma na certificate huwa tofauti kabisa. Kuanzia msingi wake na mambo wanayosoma.
Mtu anayesoma diploma na akaishia mwaka mmoja hawezi kupewa certificate. Hizi ni course tofauti kabisa. Ni sawa na chuo ukiishia mwaka wa pili eti upewe diploma.
Au mwenye diploma akienda chuo asome mwaka mmoja apewe digrii. Hizi diploma ni za kuzalisha watu wasio na weledi. Tuziangalie.