Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Nijuavyo mfumo upo hiviUnakuta mtu ana D zake mbili. Anaenda chuo, labda cha kilimo au afya. Anapiga mwaka mmoja Anapewa certificate. Hapo anaweza kwenda kuajiriwa nk. Lakini akiongeza mmoja anakuwa na Diploma. Sasa hii diploma inakuwaje? Maana kawaida syllabus ya diploma na certificate huwa tofauti kabisa. Kuanzia msingi wake na mambo wanayosoma. Mtu anayesoma diploma na akaishia mwaka mmoja hawezi kupewa certificate. Hizi ni course tofauti kabisa. Ni sawa na chuo ukiishia mwaka wa pili eti upewe diploma. Au mwenye diploma akienda chuo asome mwaka mmoja apewe digrii. Hizi diploma ni za kuzalisha watu wasio na weledi. Tuziangalie
Kuna chuo kimoja Cha kilimo mbeya mbalizi nimesahau jina alienda kusoma gf wangu alikua na D mbili yaani alikua kilaza sijapata kuona now ana diploma,. Kahonga k mpaka ameajiriwa halmashauriChuo gani icho kinapokea D mbili?
UongoKuna chuo kimoja Cha kilimo mbeya mbalizi nimesahau jina alienda kusoma gf wangu alikua na D mbili yaani alikua kilaza sijapata kuona now ana diploma,. Kahonga k mpaka ameajiriwa halmashauri
Hii kaliKuna chuo kimoja Cha kilimo mbeya mbalizi nimesahau jina alienda kusoma gf wangu alikua na D mbili yaani alikua kilaza sijapata kuona now ana diploma,. Kahonga k mpaka ameajiriwa halmashauri
wivu tuKuna chuo kimoja Cha kilimo mbeya mbalizi nimesahau jina alienda kusoma gf wangu alikua na D mbili yaani alikua kilaza sijapata kuona now ana diploma,. Kahonga k mpaka ameajiriwa halmashauri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyapuBasic certificate (NTA level 4), 1 year
Technician certificate(NTA level 5), 1 year
Diploma (NTA level 6), 1 year
Jumla 3 years.
Huenda kuna kitu ulikuwa unahitaji kukijua sema umeandika kwa hasira, labda baada ya kugundua gf wako alikuwa anagawa nyapu tu.
[emoji419]Basic certificate (NTA level 4), 1 year
Technician certificate(NTA level 5), 1 year
Diploma (NTA level 6), 1 year
Jumla 3 years.
Huenda kuna kitu ulikuwa unahitaji kukijua sema umeandika kwa hasira, labda baada ya kugundua gf wako alikuwa anagawa nyapu tu.
Na ndio type ya vilaza ambao serikali ina prioritize , kiufupi bongo haitaki brainy individuals mlishabiwa na mwigulu WA chembaUnakuta mtu ana D zake mbili. Anaenda chuo, labda cha kilimo au afya. Anapiga mwaka mmoja Anapewa certificate. Hapo anaweza kwenda kuajiriwa nk. Lakini akiongeza mmoja anakuwa na Diploma. Sasa hii diploma inakuwaje?
Maana kawaida syllabus ya diploma na certificate huwa tofauti kabisa. Kuanzia msingi wake na mambo wanayosoma.
Mtu anayesoma diploma na akaishia mwaka mmoja hawezi kupewa certificate. Hizi ni course tofauti kabisa. Ni sawa na chuo ukiishia mwaka wa pili eti upewe diploma.
Au mwenye diploma akienda chuo asome mwaka mmoja apewe digrii. Hizi diploma ni za kuzalisha watu wasio na weledi. Tuziangalie.
Muongo wewemakampuni nyingi sana kenya, wanapenda sana watu waliyo itimu diploma, na hasa kwa sekta ya uhandisi kamavile civil engineering, electrical engineering na mechanical engineering.
maana wao wameiva kila kitu, kuanzia theory hadi practicals, pia wao hawana kiburi, mshahara wowote watauchukua tu, na wao hapana bagua section yoyote ya kazi.
kwa upande mwingine, watu wa degree ni theory tu ndo wao wanajua. wako na kiburi na wana dictate mshahara wao ni hela ngapi. na hawawezi fanya kazi ingine yoyote pasipo ile alisomea ama kuandikwa..[emoji848] watu wa degree wao..