Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Wewe na nani mnamuhitaji huyo Magufuli wako? Usije sema Watanzania maana kuna Watanzania hatumuhitaji.Tunamuhitaji Magufuli tena!
Wewe na nani mnamuhitaji huyo magufuli wako? usije sema watanzania maana kuna watanzania hatumuhitaji.
Tunahitaji uhuru wa kujieleza, ajira kwa vijana, wastaafu wasicheleweshewe malipo yao.
Labda nyie Wakenya/ChademaWewe na nani mnamuhitaji huyo Magufuli wako? Usije sema Watanzania maana kuna Watanzania hatumuhitaji.
Sitaki kesi ya uhujumu uchumiUmeshajieleza unataka nini zaidi?
JF nzima ni jamaa mmoja tu anayetumia ID ya jinalake mwenye uwezo wa kusema hakubaliani na magufuli.Naunga mkono hoja, JPM is a great man ever.
Usichojua ni kwamba wengi wametumia ID feki ili wafanye uasi. Jaribu kukubali kwamba si lazima wwatu wote tuwe na msimamo mmoja.JF nzima ni jamaa mmoja tu anayetumia ID ya jinalake mwenye uwezo wa kusema hakubaliani na magufuli.
Jaribu kutafakari katika maisha yako ni kwa kiasi gani unajari haki za wengine mahali unakoishi.Simpigii kura Magufuli, ni mbinafsi, mbabe, mbishi na mtu asiyeheshimu haki za wengine.
Simpigii kura Magufuli, ni mbinafsi, mbabe, mbishi na mtu asiyeheshimu haki za wengine.