Uchaguzi 2020 Diplomasia ya Uchumi kumbeba Magufuli Uchaguzi wa Urais Oktoba 2020

Hivi wewe Mwandambo ni Mwandambo wa eneo la watokaoMwandambo wote ambako hawajawahi kuwa na fikra za kinafiki kabsaa. Ambao ni wasomi waliokombolewa kifikra au ni wa kutoka nchi ya kusadikika?

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
John Pombe Joseph Magufuli the zealout son of Africa and Tanzania.

John Pombe Joseph Magufuli the charismatic,patriotic and Prosper President the Nation Happens to have.

We Wish Him Exquisite Healthy, generosity and tranquility aaamen aaaaaamen.

Viva CCM
Siempre Siempre CCM
Hasta la Victoria CCM
Aluuta Tanzania.

Kijana Muuza Al Kasus,
Tandale Kwa Mtogole.
 
Simpigii kura Magufuli, ni mbinafsi, mbabe, mbishi na mtu asiyeheshimu haki za wengine.
Your vote change nothing you know that huh!, Watanzania wengine watampa and he will lead you once again and again, got it 😆.
 
Mtu alijificha kwa wiki kadhaa na kuwaacha wananchi wake wapambane na hali zao mpaka alipojiridhisha kuwa hali si ya hatari na bado hamuoni? Watanzania mmelogwa si utani.
 
It looks like you killed everything broh!, Viva Magufuli, Viva ccm😃.
 
Msomi
 
Mtu alijificha kwa wiki kadhaa na kuwaacha wananchi wake wapambane na hali zao mpaka alipojiridhisha kuwa hali si ya hatari na bado hamuoni? Watanzania mmelogwa si utani.
We ulitaka aingie mtaani au aje akae kwako!?, Where is your point here!?

Hell no!, this is absolutely nonsense 😡. Wapinzani mnateseka sana😁.
 
Unafaidika nini na hizo rasilimanì wewe kama wewe
 
Seconded
P
 
humu jf mtanange mkali ni kati ya membe na lissu. Huko nje wapo wababe wa vita.
Uhuru haupewi bali unaupigania.
 
Wewe na nani mnamuhitaji huyo Magufuli wako? Usije sema Watanzania maana kuna Watanzania hatumuhitaji.

Upo sawa na ndio maana tunafanya uchaguzi, nyie wachache mtamkataa sisi wengi tuamchagua,
Kisha nyie wachache mtaamua kwenda na sissi au kuumia tena moyoni miaka tano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…