Uchaguzi 2020 Diplomasia ya Uchumi kumbeba Magufuli Uchaguzi wa Urais Oktoba 2020

Kwa akili zako hizi, unafurahishwa kuona mTanzania mweusi, akimnyanyasa mTanzania mwenziye ?!. Tujiwekee utaratibu wa kuongozana vizuri .

Hii ya wengine kujiona wana haki na taifa hili kuliko wananchi wengine si sawa.
 
Nadhan hujui hata maana ya hcho ulichojitutumua kukielezea
 
Kwa akili zako hizi, unafurahishwa kuona mTanzania mweusi, akimnyanyasa mTanzania mwenziye ?!. Tujiwekee utaratibu wa kuongozana vizuri .

Hii ya wengine kujiona wana haki na taifa hili kuliko wananchi wengine si sawa.
mkuu hata wewe ukipewa kuliongoza taifa kuna kundi litalalama tu juu yako, mfano mzuri kikwete aliwaacha watu wafanye watakavyo je hakulaumiwa? hebu tuache kuwataka viongozi wawe parfect akati hata sisi hatupo parfect...
 
Wengine akili zetu haziendi mbali na tulipo, tukishiba wali na ndizi mbivu msibani mtaani kwetu, tunaomba utokee Tena msiba mwingine mtaani! Lakini unaweza kuwa ni wewe. Huu siyo mchango kwenye hoja iliyotolewa Ila ni kuhimiza Wana jf kujibu hoja kwa makini kwani zinahusu maisha ya wananchi.
 
1. uraisi hauupati ata uandike kitabu
2. mahusiano na nchi zingine inategemeana kama hayana manufaa ya nn kuyangangania
3. bado nchi nyingi sana tuna mahusiano nao mazuri sana, china na usa hawana mahusiano mazuri na juzi kila mtu amebomoa embassy ya mwenzake,
4. hatupo tayar kurudi kwenye misaada
 
Mtu alijificha kwa wiki kadhaa na kuwaacha wananchi wake wapambane na hali zao mpaka alipojiridhisha kuwa hali si ya hatari na bado hamuoni? Watanzania mmelogwa si utani.

sasa wapi hamna corona unasema kjificha kama alienda nje ya dunia sawa, sasa mtu yupo apo apo tz unasemaje kajificha! kiukwel upinzani mnaboa sana na mada zenu, kwanza kama we sio mfuasi wa magufuli kajiweke karantini saaaahv kama upo town unafuata maono ya mzee baba nyamazisha hilo fuvu
 
Anashiriki uchaguzi
Wakudada! Naona wajumbe wamekukubali baada ya kugawama nao ile pension ya 240M.
Usije msahau mshikaji wako Mtela aliyeharibikiwa kwa kuonja vya wakubwa! Mmetoka naye mbali
 
Unanichekesha sana. hemu kasome budget yenu
 
Kamanda jipime
Kwa akili zako hizi, unafurahishwa kuona mTanzania mweusi, akimnyanyasa mTanzania mwenziye ?!. Tujiwekee utaratibu wa kuongozana vizuri .

Hii ya wengine kujiona wana haki na taifa hili kuliko wananchi wengine si sawa.
 
Umejenga hoja kuntu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…