Director Joan afunga ndoa leo


amezaliwa tanzania amesoma hapahapa mzizima ana 21 umri ni gay toka enzi
 
aibu dume zima linakata mauno
 
Halaf Rio paul mbaya jamani sura yake imepinda na yale masikio sasaa yalivyosimama kama Antena
 
Yeye ni celebrity wa nini?
Bongo tuna upungufu wa celebrities?




hapana c upungufu mkuu.... ww umechelewa, joan n maarufu kitambo kbla hata ya kina wema na wenzakee. nizamani mno me namjua akiwa mtangazaj chanel ten , sema kipnd chke ndo ckumbuk ila kilikua ni cha muzk
 

Hongera zake Joan aka Misana Magono aliyekuwa mchanjaji mkubwa UK sijui kaacha siku hzo u mission town
 
Last edited by a moderator:
Dah namtakia kila la kheri kwwli Mungu akipanga manake alivyalishwaga Pete ya uchumba na mkaka Fulani naona harusi haikufanikiwa
 
Jamani miss world ishapita au? ???happy imekuwajeeew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…