TANZIA Director Nisher afariki dunia

Nimejiuliza watu wanasema alipata depression toka mtt wake afe ndo najiuliza au kifo cha huyo mtt hakikua cha kawaida kikamuachia mawazo hivyo?
Basi ingekua hivyo DiBanj na Davido tungekua hatunao mda huu, watoto si unakamata Mwanamke tu unamjaza mimba issue sio mtoto sio depression kuna maelezo zaidi ya hayo anaejua sana sana ni yeye na nakafa nayo, apumzike panapositahiri tutaonana mawinguni
 
Kwa povu hili ujumbe utakua umefika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…