Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
NimehuzunikaNakukumbusha kuwa mahali pabaya peponi pia papo na so Kila anayekufa anaenda pema peponi.
Bado kijana mdogo
Na bado tasnia ilikuwa inamuhitaji sana.
Inaumiza sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NimehuzunikaNakukumbusha kuwa mahali pabaya peponi pia papo na so Kila anayekufa anaenda pema peponi.
Kwani dogo alikua na matatizo ganije ameshindwaje kuwasiliana na mungu moja kwa moja kuhusu matatizo ya mtoto wake
Maria alikua aidha 15 au 16 alivyopewa mimba na 'roho mtakatifu'muddy(56) mme wa Bi. Aisha(9)
Basi ingekua hivyo DiBanj na Davido tungekua hatunao mda huu, watoto si unakamata Mwanamke tu unamjaza mimba issue sio mtoto sio depression kuna maelezo zaidi ya hayo anaejua sana sana ni yeye na nakafa nayo, apumzike panapositahiri tutaonana mawinguniNimejiuliza watu wanasema alipata depression toka mtt wake afe ndo najiuliza au kifo cha huyo mtt hakikua cha kawaida kikamuachia mawazo hivyo?
Joined october 27 2023, umejiunga Juzi kuja kutukana wazazi wako ?mke mdogo wamboe mambo?
Ikiuma sana na wewe unamfuata tu mkuu, Pole sana kwa msibaNimehuzunika
Bado kijana mdogo
Na bado tasnia ilikuwa inamuhitaji sana.
Inaumiza sana.
Hata wewe pia utakufaIkiuma sana na wewe unamfuata tu mkuu, Pole sana kwa msiba
Jana mkuu tulifanya mjadala mzuri sana na wewe.Manabii wa zamani, mfano Eliya na Elisha walifanya matendo ya kimiujiza, ikiwa ni pamoja na kufufua watu, je nabii Geo davie atafufua mtoto wake?? 😐😐.
Ila kweli.....Joined october 27 2023, umejiunga Juzi kuja kutukana wazazi wako ?
Jf ni sehemu ya kujifunza siyo kutukana watu , matusi hayawezi kukuondolea umasikini ulionao
Hahaaaaa, kumbe wewe ndio Joyce Mukya?😄😆😂🤣😀Joined october 27 2023, umejiunga Juzi kuja kutukana wazazi wako ?
Jf ni sehemu ya kujifunza siyo kutukana watu , matusi hayawezi kukuondolea umasikini ulionao
AminaHata wewe pia utakufa
Ni suala la muda tu wote tutakufa
Matatizo yote haya ukiwabana sana wanaamua kwenda kutupa mzigo kwa kusema ni mambo ya KIROHOUkisha sikia neno kiroho , imani , kimbia uvunjike ata mguu, kama unaogopa kutapeliwa.
Kabla hamjajiunga jf ni vema mkawa mnasoma sheria zakeHahaaaaa, kumbe wewe ndio Joyce Mukya?😄😆😂🤣😀
Kwa povu hili ujumbe utakua umefikaNawe Jaribu kuficha Uchi wa Akili yako. Kafa Ibrahimu, Yakobo,Daud, Musa, Kafa Eliya Mtshbi, Kafa Elisha aliyefufua watu na mifupa ya mwili wake ilipoangukiwa na Marehemu akafufuka. Kafa muddy(56) mme wa Bi. Aisha(9). Inawezekana hata kwenye Familia yenu wapo waliokufa. Utakufa wewe na kila kiumbe kitakufa sasa kwanini asife huyo mtoto.
Uzi wako umeuleta kwa nia ya kukashfu tu kama ilivyo kawaida yenu kizazi kisichojielewa. Ebu tumia hiko kichwa chako vizuri bwana mdogo.
Kama kufa ni faida, Mbona kila siku unasali kuomba maisha marefu?kufa n faida kuishi n kristo ukijua hili hataa wosia huandiki