Mtani wa Taifa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2023
- 953
- 3,318
Apumzike kwa amani, bora angetangulia baba yake tapeli yule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka kazi zake tumkumbuke kwa urahisiRIP
Kwangu akitoka adam juma basi ni huyu video zake zilikuwa [emoji91]
Huyu jamaa ni zaidi ya hao maarufu ,sema anavyoishi wengi hawamfahamu ila jamaa ni kuntu ....RIP
Kwangu akitoka adam juma basi ni huyu video zake zilikuwa 🔥
Kwakweli!Apumzike kwa amani, bora angetangulia baba yake tapeli yule.
Shida nini mkuu? Kwamba kufa kwa mtoto ndio chanzo?Jamaa tangu afiwe na mwanae hajawahi kuwa sawa kabisa Finally ameenda
Kufiwaaaa....Shida nini mkuu? Kwamba kufa kwa mtoto ndio chanzo?
Mbona unaandika kama kuku aliekatwa kichwa!View attachment 2840142Director wa music wa bongo fleva Nisher amefariki dunia mapema leo,Nisher ni mtoto wa nabii Geodevie wa Arusha
Kumbe hata manabii wanaofufua watu kwa miujiza ya maombi nao wanafiwa?[emoji848][emoji24]View attachment 2840142Director wa music wa bongo fleva Nisher amefariki dunia mapema leo,Nisher ni mtoto wa nabii Geodevie wa Arusha