TANZIA Director Nisher afariki dunia

TANZIA Director Nisher afariki dunia

Kumbe hata manabii wanaofufua watu kwa miujiza ya maombi nao wanafiwa?[emoji848][emoji24]
Kuna yule aliyemfufua mamaake hatuwezi kumuomba akamfufua na huyu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wawapi huuyooo
Kunaa mmoja alikula kama laki4 za mdadaa mmoja atamfufua mwanae
Hahaha akaenda kaburini akamrudia sadakaakubwaa zaidi inahitajika mdada kahama na dar es salaam achatu
Mpangalee hataree
 
Back
Top Bottom