To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Duu,maisha hayaJamaa tangu afiwe na mwanae hajawahi kuwa sawa kabisa Finally ameenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu,maisha hayaJamaa tangu afiwe na mwanae hajawahi kuwa sawa kabisa Finally ameenda
Wawapi huuyoooKumbe hata manabii wanaofufua watu kwa miujiza ya maombi nao wanafiwa?[emoji848][emoji24]
Kuna yule aliyemfufua mamaake hatuwezi kumuomba akamfufua na huyu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Fuatilia, jamaa kafanya attempts za kujiua mara kadhaaShida nini mkuu? Kwamba kufa kwa mtoto ndio chanzo?
Usiwe tajirii tuKwann wazo la kwanza kuingia kichwani mwangu baada ya Taarifa ya tanzia hii ni Kafara?I don't why ila ndio mawazo yanayojirudia rudia
Acha hizo. Kufa rahis kama uko single na hutegemewi. Kufa easy na una watoto hata sekondary hawaingia ? Acha kabisa mkuu?kufa n faida kuishi n kristo ukijua hili hataa wosia huandiki
Acha hizo. Kufa rahis kama uko single na hutegemewi. Kufa easy na una watoto hata sekondary hawaingia ? Acha kabisa mkuu?
Aiseeee, Mungu ampe pumziko jema.Fuatilia, jamaa kafanya attempts za kujiua mara kadhaa
Hayo maandiko si ndio anatumia bana wa marehem kutapelasikini?Somaa maandiko mkuu sio mm
Fillip 1:21-27Acha hizo. Kufa rahis kama uko single na hutegemewi. Kufa easy na una watoto hata sekondary hawaingia ? Acha kabisa mkuu?
Mi siwezi pinganaaHayo maandiko si ndio anatumia bana wa marehem kutapelasikini?
Unafikir ishu ni maandiko au ishu ni kusoma.?
Ishu ni uhalisia?
Ben pol jikubaliWeka kazi zake tumkumbuke kwa urahisi
Amekutapeli nini?Apumzike kwa amani, bora angetangulia baba yake tapeli yule.