TANZIA Director Nisher afariki dunia

TANZIA Director Nisher afariki dunia

Kumbe hata manabii wanaofufua watu kwa miujiza ya maombi nao wanafiwa?[emoji848][emoji24]
Kuna yule aliyemfufua mamaake hatuwezi kumuomba akamfufua na huyu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Muddy na watoto wake walipaa mbinguni?Nabii Elisha katika kitabu cha wafalme kwenye biblia alimfufua mtoto wa mwanamke mjane lakini mwisho wa siku na yeye alifariki hapo pia unasemaje?
 
View attachment 2840201
Director maarufu wa video mbalimbali ikiwemo za Wasanii wa Bongofleva ambaye pia ni Mtoto wa kwanza wa Muhubiri maarufu wa Arusha wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Dr. GeorDavie, Nic Davie maarufu Nisher amefariki saa nane na dakika tisa usiku wa kuamkia leo December 12,2023.

Familia ya Dr. GeorDavie imethibitisha kutokea kwa msiba huo wa Kijana wao Nisher na kusema msiba unafanyika katika nyumba ya matamko Kisongo Jijini Arusha na kwamba taarifa zaidi zitatolewa baadaye.
Rip
 
Tt
 
Attachments

  • Screenshot_20231212_085645_Chrome.jpg
    Screenshot_20231212_085645_Chrome.jpg
    82.9 KB · Views: 12
View attachment 2840201
Director maarufu wa video mbalimbali ikiwemo za Wasanii wa Bongofleva ambaye pia ni Mtoto wa kwanza wa Muhubiri maarufu wa Arusha wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Dr. GeorDavie, Nic Davie maarufu Nisher amefariki saa nane na dakika tisa usiku wa kuamkia leo December 12,2023.

Familia ya Dr. GeorDavie imethibitisha kutokea kwa msiba huo wa Kijana wao Nisher na kusema msiba unafanyika katika nyumba ya matamko Kisongo Jijini Arusha na kwamba taarifa zaidi zitatolewa baadaye.
Tutegemee huko ni kula, kunywa na kusaza hakuna haja ya kubeba kamera na traipodi.
 
Back
Top Bottom