TANZIA Director Nisher afariki dunia

TANZIA Director Nisher afariki dunia

Nawe Jaribu kuficha Uchi wa Akili yako. Kafa Ibrahimu, Yakobo,Daud, Musa, Kafa Eliya Mtshbi, Kafa Elisha aliyefufua watu na mifupa ya mwili wake ilipoangukiwa na Marehemu akafufuka. Kafa muddy(56) mme wa Bi. Aisha(9). Inawezekana hata kwenye Familia yenu wapo waliokufa. Utakufa wewe na kila kiumbe kitakufa sasa kwanini asife huyo mtoto.

Uzi wako umeuleta kwa nia ya kukashfu tu kama ilivyo kawaida yenu kizazi kisichojielewa. Ebu tumia hiko kichwa chako vizuri bwana mdogo.
Uzi uishie hapa.
 
Habari wana jf, Poleni na harakari za hapa na pale za utafutaji, 🤝

• Katika maisha, hapa duniani binadamu tunapita,
"R. I. P NiSher Davie" , sote tupo njia moja. Mwenyezi mungu akupunguzie Adhabu ya kifo huko uendako 🙏🏿.


• Lakini kutokana na hili tukio la leo, nimejikuta najiuliza maswali machache :-

1.. Swali langu la kwanza : Kama kweli huyu ni Nabii (Geor Davie) je alishindwaje kutabiri kifo cha mtoto wake, ? ( au tuseme alijua kifo cha mtoto wake, lakini akaamua kukaa kimya ili kutimiza hatima ya mungu)?

2. Swali la pili : Kama kweli huyu ni nabii (Geor Davie) , je ameshindwaje kuwasiliana na mungu moja kwa moja kuhusu matatizo ya mtoto wake, ili ikiwezekana yatatuliwe mapema kabla ya umauti kumfikia NiSher ?

3. Swali la tatu : Sasa kama familia yao wanashindwa kuilinda kwa njia ya unabii wao, je mtu baki nitakaye enda kanisani kwake, nitaokolewa??

4. Swali la nne : Je tuwaite wapotoshaji !!, kama ni wapotoshaji kwa nini mamlaka zimekaa kimya?


5. Manabii wa zamani, mfano Eliya na Elisha walifanya matendo ya kimiujiza, ikiwa ni pamoja na kufufua watu, je nabii Geo davie atafufua mtoto wake?? 😐😐.
GeoDavie sio kwamba anajiita tu nabii bali anajiita nabii mkuu. In short yeye ni boss wa manabii wote... Sasa hapo changa karata kichwani kwako mkuu.
 
View attachment 2840201
Director maarufu wa video mbalimbali ikiwemo za Wasanii wa Bongofleva ambaye pia ni Mtoto wa kwanza wa Muhubiri maarufu wa Arusha wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Dr. GeorDavie, Nic Davie maarufu Nisher amefariki saa nane na dakika tisa usiku wa kuamkia leo December 12,2023.

Familia ya Dr. GeorDavie imethibitisha kutokea kwa msiba huo wa Kijana wao Nisher na kusema msiba unafanyika katika nyumba ya matamko Kisongo Jijini Arusha na kwamba taarifa zaidi zitatolewa baadaye.
Dah!...Rip...
 
Kumbe hata manabii wanaofufua watu kwa miujiza ya maombi nao wanafiwa?[emoji848][emoji24]
Kuna yule aliyemfufua mamaake hatuwezi kumuomba akamfufua na huyu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani miaka ile yupo Yesu ilitokea misiba miwili tu peke yake kipindi chote? Wa lazaro ja yule mtoto? Ilikuwepo mingi. Ila hakuwa akipita kufufua maiti.
 
Hii issue nlisikia mda kidogo istoshe kama mzee alikua amemtenga na kua karibu na mtoto wa kike na mumewe huyo mtoto...huyo binti na mumewe ndio wameshika mpini kwasasa kwenye sadaka ...fununu jamaa alikua ndani tu kwa uwezo wa angempeleka nje kupatiwa matibabu mana pesa anayo
Mtoto wa kike? Mumewe? Huyo binti?

Mkuu eleza vizuri mbona unachanganya Madesa... Maelezo yako hayaeleweki.
 
Duh Rest In Peace. Najisikia kajiua kwa kujichoma na kisu
Doohhh!.. sina maana mbaya ila vitu kama hiv nikishakutanaga navyo tu ndio vinanifanyaga narud kwa sir God nduki. Sasa ni nini hiki kama sio shetani tu kamzingua mshkaji kwa kui trick akil yake ajiue??? Dah!. Sema leo Leejay49 umejificha sana au ndio yale mazonge yamrud tena mpaka ku post huwez? 😂
 
Back
Top Bottom