TANZIA Director Nisher afariki dunia

TANZIA Director Nisher afariki dunia

Huwa najiuliza sana.... Inakuwaje mtu yupo liquid kiasi hiki.... Maisha mazuri, shida ndogo ndogo kama zetu hana... Then unapata depression mpaka kujidhuru kiasi hiki.... Huwa sipati majibu kwa haraka.... Naombeni kusaidiwa hapa...
Kila hali katika maisha ina matatizo yake. Kuna mtu anamkasirikia Baba yake kwakuwa amegoma kumbadilishia gari ya kutembelea. Na kuna ambae hata akipata nauli ya kukodi taxi anaona ni muujiza. Kuna mtu anapata mawazo kwakuwa hajapewa pesa ya kununua kiatu kipya kilichotoka mwaka 2023. Kuna mwingine anapata msongo wa mawazo kwakuwa wameacha kutolewa out kula chakula cha jioni kwenye hotel kubwa kubwa mjini.

Sijui kwa yeye tatizo lilikuwa nini, usione mtu ana pesa nyingi ukafikiri anafuraha sana, wengine pesa nyingi kwao tayari ni kitu cha kawaida sana.
 
Tutakukumbuka mzee, Nakumbuka kipindi kile Nisher na HansKana walivyokuwa na ushindani. Sema mapema sana umetangulia, Lakini kazi ya Mungu haina makosa. RIP.
 
Huwa najiuliza sana.... Inakuwaje mtu yupo liquid kiasi hiki.... Maisha mazuri, shida ndogo ndogo kama zetu hana... Then unapata depression mpaka kujidhuru kiasi hiki.... Huwa sipati majibu kwa haraka.... Naombeni kusaidiwa hapa...
Muda mwingine unaweza ukazaliwa kwenye familia yenye uwezo lakini hao hao wazazi wako ndo wakawa chanzo cha wewe kupata depression hata hizo pesa hutaona umuhimu wake wala hutakumbuka kama umezaliwa kwenye wealth family
 
Huwa najiuliza sana.... Inakuwaje mtu yupo liquid kiasi hiki.... Maisha mazuri, shida ndogo ndogo kama zetu hana... Then unapata depression mpaka kujidhuru kiasi hiki.... Huwa sipati majibu kwa haraka.... Naombeni kusaidiwa hapa...
Kwa tajiri hata kubadili gari akiichokq inamleta strees.
 
Back
Top Bottom