TANZIA Director Nisher afariki dunia

TANZIA Director Nisher afariki dunia

Depression, depression, depression...

Mtu katupiwa mapepo ya mauti Kisha mnasingizia depression...

Hv huko hospital wale wagonjwa waliojikatia tamaa kwanini hawajiui?
 
Basi ingekua hivyo DiBanj na Davido tungekua hatunao mda huu, watoto si unakamata Mwanamke tu unamjaza mimba issue sio mtoto sio depression kuna maelezo zaidi ya hayo anaejua sana sana ni yeye na nakafa nayo, apumzike panapositahiri tutaonana mawinguni
Una umri gani mkuu kwa kutoa komenti ya namna hii,hebu niambie uko shambani unalima mazao yakiwa katika hali nzuri ya matumaini unakuta yamefyekwa ,unashangaria na kutafuta shamba jingine na kuanza kulima upya!? Na vipi hali ikiendelea hivyo mwisho wa juhudi zako ni upi
 
Back
Top Bottom