Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Sio kamba, sikuhamishwa wodi wala nini wakaniambia we tulia tu, ila niliogopa cz jamaa tulipiga story vzr tu , akala vzr , baadae hali yake ikabadilika ghaflaAhahahah..acha kamba..kwahiyo wakaku discharge tu kienyeji enyeji kama like unapojiskia tu? Labda kama ulitoroka 😂