TANZIA Director Nisher afariki dunia

TANZIA Director Nisher afariki dunia

Baada ya miaka 6 ya kusimangwa usingle maza,anaibuka Baba mtu kumdai mwanae kupitia ustawi wa jamii,wanampa ati Mama hana uwezo wa kumlea daah
Acha kabisa.hili life my friend acha tu. Nikawaza vitu vingii.
HUyu kutunzwa uzaz itakuaje vitu kama lishe. Okay hiyo kwake mzazi, vipi kuhusu mtoto maziwa.. achana na ishu ndogo ndogo kama maternity pads za angalau kumfanya awe comfortable..

Yupo nyumban wa kumfanyia kazi na usaidiz au ndio 12 inabid kuamka na kuendelea na majukum? Hapo unajaribu kujisahaulisha maumivu ya kuimwa mgogngo na tumbo baada ya kujifungua ambao huchukua muda flan mpaka kurud sawa!. Bas tu!!
 
Acha tuu..ndo maana natamani kujua why?? Kwanini ajiue..alikua anauwezo wa kupata kila kitu
Hata mimi inanishangaza sana
Yaani mtoto wa kishua anapata depression hadi anajiua kweli!

Ingekuwa kapuku kama sisi ambao kula yetu tu ya shida,stress tu si zingemmaliza[emoji3064]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajajiua, ila Matajiri ndio wanaongoza kwa kujiua kwakuwa wana malengo makubwa ambayo kuyafikia ni ngumu.

Mtoto wa Tajiri ana dream vogue 2023, Dream House Masaki ambapo kwa bei ya chini ni bilioni 3, anataka Mume wa kishua -tena point 3 [half cast], amesoma Political science huko Havard -Mrekani akija Tanzania anakuta makarai kama akina Sabaya na Katambi ndio mabosi zake, watu ambao hata barua hawawezi kuandika na mshahara wa laki 8 lazma ajiondoe uhai.
 
Acha ujinga wa kuamini ulozi mkuu. Nchi hii ina watu wa ajabu sana wanaoamini kila kifo au tatizo kuna mkono wa mtu. Kwan Chid Benz ndio wa kwanza kula unga akapata matatizo ya afya ya akili? Kwann useme mtu kalogwa ilhali inajulikana tatizo lake ni unga? Yeyote aaminiye uchawi kwenye kila jambo ni mpumbavu na mpuuzi.

Back to Nisher, jamaa inaonekana alipata msongo mkali wa mawazo. Life is more than money, kuna watu kibao wenye hela lakini wanateswa na mambo mengine km magonjwa, magonjwa ya akili n.k . Ko sa lililofanyika ni kutompeleka Nisher kwa Daktari mzuri mtaalam wa akili ( Psychiatrist)

Gary Speed ( former Wales NT football coach) alihojiwa kwenye TV akaeleza mipango mingi ya timu yake, ila usiku huo akajiua. Alikuwa tajiri kuliko Nisher na hakuonesha dalili yoyote ya depression kumbe jamaa alikuwa anaugulia ndani kwa ndani.
Kama Avicii vile.
Alikuwa famous, pesa anayo lakini akajiua kwa depression.
 
Hajajiua, ila Matajiri ndio wanaongoza kwa kujiua kwakuwa wana malengo makubwa ambayo kuyafikia ni ngumu.
Mtoto wa Tajiri ana dream vogue 2023, Dream House Masaki ambapo kwa bei ya chini ni bilioni 3, anataka Mume wa kishua -tena point 3 [half cast], amesoma Political science huko Havard -Mrekani akija Tanzania anakuta makarai kama akina Sabaya na Katambi ndio mabosi zake, watu ambao hata barua hawawezi kuandika na mshahara wa laki 8 lazma ajiondoe uhai.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti akina Sabaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yule ni mke wa Rais umeelewa nini?
Unachanganya supu na tui la nazi, ugoro na tambuu, unawasha A/C bekary , haieleweki unataka kuelezea hoja gani!
yule ni mke wa Rais umeelewa nini? Sentensi haina herufi kubwa, haina comma, haijulikani ni swali ama maelezo.

RAIS: WA -
1. TFF
2. WASAFI
3. TANDALE
4. ISRAELI.
5.DARUSO
 
Back
Top Bottom