Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Hili swala nilitaka kuliongelea mda mrefu sana hasa kwenye swala la mbunge wa babati alichomfanyia kijakazi wake nikaghairi
Ila siku za karibuni nimeona mijadala mingi kuhusu Director of Public Prosecution yafutayo ni maoni yangu juu ya nafasi ya DPP
Ila siku za karibuni nimeona mijadala mingi kuhusu Director of Public Prosecution yafutayo ni maoni yangu juu ya nafasi ya DPP
- Awe anachaguliwa na wananchi
- Atakuwa chini ya Rais ila hatakuwa amechaguliwa na Rais
- Asiwe na historia ya kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa
- Awe na miaka 50 na kuendelea
- Asiwe na historia ya kuwa wakili wa serikali
- Awe na historia nzuri ya kuwa na wakili kwenye bar ya wakili binafsi kwa Tanzania ni TLS
- Atahudumu vipindi viwili vya miaka 5 jumla miaka 10
- Mchujo wa awali utafanywa na majaji wa mahakama kuu mahakimu, TLS, na chama cha mawakili wa serikali na baade majina mawili yatakayobaki yatapigiwa kura na wananchi
- Hatakuwa na kinga ya kutoshtakiwa baada ya kumaliza mda wake, kama kuna makosa alifanya atashtakiwa