Smart Dude
JF-Expert Member
- Sep 23, 2023
- 553
- 644
tunahitaji civilization na political will kwenye hizi nchi zetu kufikia hayo tunayoyawaza, otherwise zinabaki kuwa wish tu, Kenya haya yote yanafanyika, lakini bado vyombo hivi vyote viko mfukoni kwa Rais Ruto - ndiyo maana mchakato wa kmng'oa Gachagua ulifanikiwa bila shida yeyote, ndiyo maama hata Bench la kusikiliza kesi ya Gachagua lilikuwa empaneled kinyume cha Katiba ili tu kuharakisha mchakato. Ndiyo maana Gen Z wanapelekewa moto wakiandamana na wanauawa kila mara na CS anawasifia hao askari hadharani.CDF, IGP, Jaji Mkuu, nao wapitie Mikono ya bunge, kuchaguliwa baada ta kuteuliwa na Rais.
Hiking ni kichaka kingine
Hata upinzani unatakiwa kubehave in a civilized way - hata Ulaya upinzani upo lakini kwasababu ya civilization waliyoifikia - sio chama tawala - sio upinzani wote wanabehave kistaarabu sana. miaka 100 iliyopita nao walikuwa kama sisi tu.. kwenye hizi nchi zetu bado kuna mambo mengi mazuri na mabaya bado yanafanyika 'in the name of the State' - hata chama kikibadilika ile kauli ya 'in the name of the State' haitaondoka hivi karibuni.