Director of Public Prosecution (DPP) anatakiwa kuchaguliwa na wananchi

Director of Public Prosecution (DPP) anatakiwa kuchaguliwa na wananchi

Wananchi wako busy na uzalishaji, huo muda wa kuchagua hao watendaji wataupata wapi?
 
Hahaha. Kimsingi haitekelezeki. Labda afanyiwe vetting na bunge ambao ni wawakilishi wa wananchi.

Swali: kwanini asiwe amewahi kuwa wakili wa serikali?
Afanyiwe vetting na akina msukuma na lusinde, jamani hebu tuwe serious
Wasanii wetu ndio wakamfanyie vetting
 
Nimeshakumbili awapi
Wewe kupitia reply yako unaamini kila jambo haliwezekani sasa ukiwa na akili kama hizo kwamba kila jambo ni gumu basi huwezi kuwa na sympathy na wananchi

Nikukumbushe hakuna jambo rahisi hapa duniani
hakuna jambo Rahisi; Ni Kweli. hili la DPP kuchaguliwa na wananchi kwenye Nchi za Afrika itakuwa ndiyo mfano wa hayo mambo ambayo siyo marahisi zaidi.
 
Back
Top Bottom