Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Itaondoa sintofahamu ambazo zipo na kuongeza imani kwa mahakamaNafasi itangazwe akawe mtumishi wa umma na siyo mtumwa wa Rais
Point kwamba anachaguliwa na wananchi kipindi kijacho cha uchaguzi wananchi watampiga chiniApigiwe kula na TLS ukisha mpeleka kwa wananchi yatajipenyeza mamluki ya kijani
Atawajibika kwa maslahi ya wananchi na siyo kwa maslahi ya RaisItaondoa sintofahamu ambazo zipo na kuongeza imani kwa mahakama
DPP anatumikia wananchi na sio mawakili yuko pale kwa ajili ya maslai ya wananchiUngesema achaguliwe na mawakili au wanasheria ningekuunga mkono,
Nafasi ya DPP sio ya kisiasa ni nafasi ya kitaalamu, msichanganye mambo
Hayo mawazo yako utasubili sana. Maana yake hata Mganga Mkuu achaguliwe na wananchi, hilo litakua sio taifa labda kijijiDPP anatumikia wananchi na sio mawakili yuko pale kwa ajili ya maslai ya wananchi
Dpp anapigania maslai ya wananchi na sio kikundi cha watu wachacheHayo mawazo yako utasubili sana. Maana yake hata Mganga Mkuu achaguliwe na wananchi, hilo litakua sio taifa labda kijiji
Kwani nchi zingine ambazo DPP anafanya vizuri, utaratibu wao upoje, na je mamlaka za kimahakama haziwezi kufuata utaratibu,ambao uta mnyima nafasi DPP kudhulumu haki za wengineHili swala nilitaka kuliongelea mda mrefu sana hasa kwenye swala la mbunge wa babati alichomfanyia kijakazi wake nikaghairi
Ila siku za karibuni nimeona mijadala mingi kuhusu Director of Public Prosecution yafutayo ni maoni yangu juu ya nafasi ya DPP
HII ITAONGEZA IMANI KWA MAHAKAMA
- Awe anachaguliwa na wananchi
- Asiwe na historia ya kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa
- Awe na miaka 50 na kuendelea
- Asiwe na historia ya kuwa wakili wa serikali
- Awe na historia nzuri ya kuwa na wakili kwenye bar ya wakili binafsi kwa Tanzania ni TLS
- Atahudumu vipindi viwili vya miaka 10
- Mchujo wa awali utafanywa na majaji wa mahakama kuu na baade majina mawili yatakayobaki yatapigiwa kura na wananchi
- Hatakuwa na kinga ya kutoshtakiwa baada ya kumaliza mda wake
Kwa mfumo wa sasa hilo jambo haliwezekaniKwani nchi zingine ambazo DPP anafanya vizuri, utaratibu wao upoje, na je mamlaka za kimahakama haziwezi kufuata utaratibu,ambao uta mnyima nafasi DPP kudhulumu haki za wengine
Mkuu I second you. Kwa huu unyama unaofanywa na ofisi hii ni muhimu sana kuwa hivyo!
- Awe anachaguliwa na wananchi
- Asiwe na historia ya kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa
- Awe na miaka 50 na kuendelea
- Asiwe na historia ya kuwa wakili wa serikali
Mchujo wa kwanza utafanywa na mahakama, Tanganyika law society na chama cha wanasheria wa serikaliNafasi ya DPP inamtaka mtu msomi,je wananchi wanaweza kutambua CV kamili ya muhusika?
Wananchi hawa wasio na Elimu?