Director of Public Prosecution (DPP) anatakiwa kuchaguliwa na wananchi

CDF, IGP, Jaji Mkuu, nao wapitie Mikono ya bunge, kuchaguliwa baada ta kuteuliwa na Rais.
Hiking ni kichaka kingine
tunahitaji civilization na political will kwenye hizi nchi zetu kufikia hayo tunayoyawaza, otherwise zinabaki kuwa wish tu, Kenya haya yote yanafanyika, lakini bado vyombo hivi vyote viko mfukoni kwa Rais Ruto - ndiyo maana mchakato wa kmng'oa Gachagua ulifanikiwa bila shida yeyote, ndiyo maama hata Bench la kusikiliza kesi ya Gachagua lilikuwa empaneled kinyume cha Katiba ili tu kuharakisha mchakato. Ndiyo maana Gen Z wanapelekewa moto wakiandamana na wanauawa kila mara na CS anawasifia hao askari hadharani.

Hata upinzani unatakiwa kubehave in a civilized way - hata Ulaya upinzani upo lakini kwasababu ya civilization waliyoifikia - sio chama tawala - sio upinzani wote wanabehave kistaarabu sana. miaka 100 iliyopita nao walikuwa kama sisi tu.. kwenye hizi nchi zetu bado kuna mambo mengi mazuri na mabaya bado yanafanyika 'in the name of the State' - hata chama kikibadilika ile kauli ya 'in the name of the State' haitaondoka hivi karibuni.
 
Kenya dpp hachaguliwi na wananchi bali na Rais
 
Kenya dpp hachaguliwi na wananchi bali na Rais
bila shaka kabisa, na sidhani kama kuna nchi DPP anachaguliwa na wananchi. kwanza yeye siyo Mbunge. NI Mtaalamu... lakini kwa namna yeyote hata kama akiidhinishwa na Bunge kama baadhi wanavyofikiri, Bado kwa mifumo yetu ya kiutawala kwenye nchi za Kiafrika haitamfanya awe na absolute mandate over and above the President. Kwa kuwa hizi nchi zetu zina Rais Mtendaji - Ni ngumu sana kwenda kinyume chake na mara nyingi wateule wote wanakuwa mfukoni mwake. tuliona, dana dana za Mkuu wa CIA wa Marekani wakati wa ile shooting ya President Trump - aliitwa Kwenye kamati ya Bunge kujitetea lakini mdomo wake ulikuwa umefungwa... kuna wishes upinzani wa Tanzania unazo lakini ni ukweli kuwa vitu vingi vitaonekana kwenye makaratasi, lakini in the name of the state haviwezi kuwa implemented.
 
Acha kukariri maisha kwasababu nchi nyingine hawajafanya ndo sisi tusifanye hapana sio lazima tucopy na kupaste kutoka sehemu nyingine

Wananchi kuamini almost kila jambo haliwezi kuwa implemented hiyo jamii imeshakufa na wanasiasa wanapenda wananchi kila jambo haliwezekani sababu inawapunguzia mzigo kwao
 
umejaribu kunishambulia na kuwashambulia wananchi - na hii ndiyo shida yetu hapa jukwaani:

Hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kudhani tutakuw ana quick fixes. mafanikio tunayoayaona Ulaya ni invetsment ya zaidi ya miaka 300. haya mataifa yetu machanga ndiyo bado yana miaka 60 tu baada ya uhuru.. ni ngumu kudhani tutakuwa kama ulaya au zaidi in two years. kuna nyakati baadhi ya mambo yataondoka menyewe kwa kulazimishwa na wakati.

pamoja na mabadiliko makubwa yaliyofanyika ulaya bado kuna nchi za ulaya zinatawaliwa kifalme - mimi naamini maendeleo ni hatua lakini kufikiri leo tutakuwa na DPP anayechaguliwa na wananchi ni kuwa out of the game tayari. Best practise hata kwneye nchi zilizoendelea haiko hivyo - na Tanzania sio kisiwa.
 
Nimeshakumbili awapi
Wewe kupitia reply yako unaamini kila jambo haliwezekani sasa ukiwa na akili kama hizo kwamba kila jambo ni gumu basi huwezi kuwa na sympathy na wananchi

Nikukumbushe hakuna jambo rahisi hapa duniani
 
Akachukue Fomu?
 
Marekani DA ( Wana Sheria) wanachaguliwa na wananchi
Ki kweli DPP wa kule kwenye Ambao wanamuita AG ngazi ya majimbo wanachaguliwa na wananchi

Yule Artoney General (DPP wa jimbo la new York) letita james alimsumbua sana trump na alichaguliwa na wananchi
 
Hayo mawazo yako utasubili sana. Maana yake hata Mganga Mkuu achaguliwe na wananchi, hilo litakua sio taifa labda kijiji
Hahaha. Kimsingi haitekelezeki. Labda afanyiwe vetting na bunge ambao ni wawakilishi wa wananchi.

Swali: kwanini asiwe amewahi kuwa wakili wa serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…