Ludi nyuma tena ni mtandao huo na Mimi nimehangaika sana lakini nimemalizaMkuu na unapojaza personal particular halafu uki click next ikakwambia application process failed then ikaku direct kwa page ya taarifa ya elimu ya sekondari, maana yake ni nini ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahhaha kwaio wote mnaomba ajira hizi mmekuja na id mpya.
utadhani sio nyie mliojiajiri nakutusumbua sumbua humu.
😄 😄 😄 😄 😄hahhaha kwaio wote mnaomba ajira hizi mmekuja na id mpya.
utadhani sio nyie mliojiajiri nakutusumbua sumbua humu.
Jiwe juu ya jiweWakuu naomba msaada
Mimi kwenye vyeti vyangu natumia majina mawaili lakini kwenye mfumo wa maombi wanahitaji majina matatu, formu ya kiapo mahakamani ya kuongeza jina la tatu ninayo ila sioni pa ku upload, naomba msaada wakuu.
Kwan lazima uweke matatu kupitia kiapo?Wakuu naomba msaada
Mimi kwenye vyeti vyangu natumia majina mawaili lakini kwenye mfumo wa maombi wanahitaji majina matatu, formu ya kiapo mahakamani ya kuongeza jina la tatu ninayo ila sioni pa ku upload, naomba msaada wakuu.
Niliwauliza tamisemi wamesema kwamba kwenye barua andika majina matatu kama ulivyokula kiapo,vyeti vyako vi-upload kama vilivyo maana huwezi kubadili jina lililopo kwenye vyeti..tatizo lako ni kama languWakuu naomba msaada
Mimi kwenye vyeti vyangu natumia majina mawaili lakini kwenye mfumo wa maombi wanahitaji majina matatu, formu ya kiapo mahakamani ya kuongeza jina la tatu ninayo ila sioni pa ku upload, naomba msaada wakuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hahhaha kwaio wote mnaomba ajira hizi mmekuja na id mpya.
utadhani sio nyie mliojiajiri nakutusumbua sumbua humu.
wakati umasajiri hakikisha majina yako yawe sawa na kwenye vyeti kwa maana hayohayo mawili ila ukilog in kwenye general info wanataka majina matatu so make sure mawili yawe ya mwanzo ya kwenye cheti then ongeza la ukoo , nida ipo , cheti cha kuzaliwa kipo usianze kuapa apa hakuna option ya kuweka hizo affidavityKwan lazima uweke matatu kupitia kiapo?
Si uweke vyeti hivyo hivyo kweny system, na pa kuandika la 3 uandike...cheti cha kuzaliwa unacho, nida unayo..sasa uoga wa nn?
Kwahy kiapo ni lazima ili kuweka sawia ya majina matatu?Niliwauliza tamisemi wamesema kwamba kwenye barua andika majina matatu kama ulivyokula kiapo,vyeti vyako vi-upload kama vilivyo maana huwezi kubadili jina lililopo kwenye vyeti..tatizo lako ni kama langu
Hata mimi imelata shuda lakini namba ya form four ni ya nje haikubali sijui nafanyaje maana Tamisemi hawatoi ushirikiano mzuriNilikuwa nakagua Profile yangu,nikagundua maina tarehe imerudi nyuma,kila niki-edit nikasave naikuta imerudi nyuma.nimechofanya nikaipeleka mbele siku moja,nikasave ikarudi nyuma siku moja ambayo ni tarehe yangu.
yaap wengi tumefanya hiviNilikuwa nakagua Profile yangu,nikagundua maina tarehe imerudi nyuma,kila niki-edit nikasave naikuta imerudi nyuma.nimechofanya nikaipeleka mbele siku moja,nikasave ikarudi nyuma siku moja ambayo ni tarehe yangu.
Tar ya kuzaliwa sio?Nilikuwa nakagua Profile yangu,nikagundua maina tarehe imerudi nyuma,kila niki-edit nikasave naikuta imerudi nyuma.nimechofanya nikaipeleka mbele siku moja,nikasave ikarudi nyuma siku moja ambayo ni tarehe yangu.
NdioTar ya kuzaliwa sio?
Kwann hukubadilisha matokeo Necta ili yawe kwa grade ya TanzaniaHata mimi imelata shuda lakini namba ya form four ni ya nje haikubali sijui nafanyaje maana Tamisemi hawatoi ushirikiano mzuri