Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Wakuu hivi kubadilisha shule unafanyaje?,unafuta zote unaanza upya?.nataka nibadilishe nibadilishe baadhi
 
Mimi jamani nahangaika sana kujiregister inafika sehemu naingiza email yangu ninayotumia siku zote. Nasevu inanipa ujumbe unaosema email address already exists. Sasa sijui ina maana gani? Nisaidieni wadau!
Njoo inbox nikuelekeze
 
Wakuu kuna Mdogo wangu namfanyia hizi application lakini yeye alishafungua account kwa kutumia simu. Kwa bahati mbaya nikijaribu kulog in kwa kutumia computer au simu hiyo hiyo mfumo unaandika ' unauthorized user" hii changamoto inatatuliwa vipi?
Njoo inbox tusaidiane
 
Wadau naombeni msaada wenu. Mm nimejaza taarifa za awali nikasevu sasa hakuna kinachoendeelea... Nafanyaje jamani?
 
Nimefika kujaza taarifa za f4 na f6. Mambo yamegoma kabisa..!
 
Wadau naombeni msaada wenu. Mm nimejaza taarifa za awali za f4 na f6 nikasevu sasa hakuna kinachoendeelea... Nafanyaje jamani?
 
Wadau mimi nimesomea nje inagoma index ya form four nafanyaje?
 
Jamani mimi hata ku-regester kumenishinda - hasa kipengele cha name..napaswa kuweka majina yangu ya vyeti au namba ya f4? Msaada tafadhali
 
Nimeshindwa ku-upload screenshot.. nimeona nikutumie link@Alex
 
Hiyo slot ya kwanza ndio inanichemsha kujaza. Kila ninachojaza be it name or f4 number inaleta red
 
Nimeshindwa ku-upload screenshot.. nimeona nikutumie link@Alex
Link kuifungua shughul..kama unatumia jamiiforum kupitia web angalia walioandika attach files kisha upost.

Kwa app fata utaratibu wake pia ili ionekane unapokwama
 
Link kuifungua shughul..kama unatumia jamiiforum kupitia web angalia walioandika attach files kisha upost.

Kwa app fata utaratibu wake pia ili ionekane unapokwama
Nikitaka kuattach file naambiwa space haitoshi. Natumia simu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…