The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
- Thread starter
-
- #441
Ooh good!Inategemea mkuu, nilichogundua mfano shule inahitaji Mwalimu wakiswahili 1 itaonekana nafasi moja, lkn shule hio hio inaweza kuwa inahitaji walimu wa civics 3 kwahio mtu wa civics akiingia lazima aone nafasi bado zipo, muonekano wanafasi katika shule unategemea na muhusika anahitaji afundishe masomo yapi.
Mtu wa physics & mathematics anaweza ona shule A inahitaji Mwalimu mmoja wahayo masomo.
Lkn mtu wa kiswahili & civics akiingia shule A kama bado inauhitaji ataiona kwa masomo yake. Am just thinking louder.
Generalization ya masomo kwa walimu husika, Mwalimu wa physics & mathematics ataona nafasi zake zilizobaki, Mwalimu wa kiswahili and English ataona nafasi zake pia zilizobaki.Ooh good!
Nimeelewa kua hawajafanya specification ya kwa kila uhitaji wa kila somo Bali ni generalization ya uhitaji kwa masomo.
Ya wezekana hiyo nafasi moja ikawa ya kwako so usikate tamaa jamaa...!Hiv hii unakuta nafas ni 1 ila bado MTU anajaza, ujasir anautoa wapi
Siyo nafasi zilizobaki Bali nafas zilizomoGeneralization ya masomo kwa walimu husika, Mwalimu wa physics & mathematics ataona nafasi zake zilizobaki, Mwalimu wa kiswahili and English ataona nafasi zake pia zilizobaki.
Ok asante kwa masahihisho.Siyo nafasi zilizobaki Bali nafas zilizomo
Kawaida hyo wala usiogopeHivi wakuu,mimi nimekutana na vacancy moja kila kona kona nkuwa naomba. Kuna mtu amekutana na kadhia kama hii?, Inamaana zilikuwa zimeshajazwa au kuna tatizo
😄😄😄😄😄Hivi jamani kwenye barua ya maombi ya ajira ya Ualimu kulikuwa na umuhimu wa kuweka picha kwenye barua?
NimefanikiwaComputer Mkuu....jaribu bila kukata tamaa....muda mzuri SAA 3 mpaka 6 usiku....kuna kaunafuu wa jam mtandaoni...nahisi watu wanakua wanatafuta ridhki kujaza matumbo...pia SAA 11 mpaka 12 asbuh wengi wanalala baada ya kukesha wakihangaika bila mafanikio...so mida hii MTU anaamua alale japo lepe la usingz
Kupitia uzi huu nimegundua kuna vijana wadogo waliomaliza shule na hawana ajira.Ndio maana huwa kuna mada za ajabu ajabu zisizo na kichwa nyingi.Wakuu Salaam;
Ofisi ya Rais-Tamisemi imefungua rasmi dirisha la kutuma maombi ya ajira kwa sekta ya elimu.
Kila aliye na sifa anaweza kuomba ajira hiyo kupitia link ifuatayo :Mfumo wa Maombi ya Ajira .
Kigezo cha kua na kitambulisho au namba ya NIDA kimejumuishwa kama msingi kwa waombaji wote.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 21/09/2020.
All the Best.
Miaka 5 alikuwepo wapi asipunguze jam mtaani anakuja kuongea kipind cha uchaguz?Kupitia uzi huu nimegundua kuna vijana wadogo waliomaliza shule na hawana ajira.Ndio maana huwa kuna mada za ajabu ajabu zisizo na kichwa nyingi.
Serikali imemwaga ajira kwa vijana,ombeni acheni kuzogoa. Mkichelewa na mfumo kufungwa msije anza kulia humu jamvini kwa watu wenye akili za kujenga nchi.
Weka tiki Mi 5 tena kazi iendelee mbele kwa mbele!!
Kumbe ni kwa wote.....Naona hawajamaa wameseti tarehe ipungue moja ili kupata sababu ya kuwakosesha watu kazi kisingizio umekosea tarehe ya kuzaliwahii kitu tu au kwa wote tuliomaliza kutuma maombi ukiangalia status ya application kwenye date of birth imepungua moja badala ya tarehe 26 wao wameweka 25,
specification ipo huu mfumo nimeshausoma kwa umakini na kujua unavyofanya kazi........ fanya hivi anza kuchagua somo moja moja utajua hilo somo shule zip zinahitajiOoh good!
Nimeelewa kua hawajafanya specification ya kwa kila uhitaji wa kila somo Bali ni generalization ya uhitaji kwa masomo.
no..........ipo hivi ukitaka kujua specifically somo lipi linahitajika na shule ipi na kuna nafasi ngapi??? chagua hilo somo moja then angalia nafasiInategemea mkuu, nilichogundua mfano shule inahitaji Mwalimu wakiswahili 1 itaonekana nafasi moja, lkn shule hio hio inaweza kuwa inahitaji walimu wa civics 3 kwahio mtu wa civics akiingia lazima aone nafasi bado zipo, muonekano wanafasi katika shule unategemea na muhusika anahitaji afundishe masomo yapi.
Mtu wa physics & mathematics anaweza ona shule A inahitaji Mwalimu mmoja wahayo masomo.
Lkn mtu wa kiswahili & civics akiingia shule A kama bado inauhitaji ataiona kwa masomo yake. Am just thinking louder.