The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
- Thread starter
- #441
Ooh good!Inategemea mkuu, nilichogundua mfano shule inahitaji Mwalimu wakiswahili 1 itaonekana nafasi moja, lkn shule hio hio inaweza kuwa inahitaji walimu wa civics 3 kwahio mtu wa civics akiingia lazima aone nafasi bado zipo, muonekano wanafasi katika shule unategemea na muhusika anahitaji afundishe masomo yapi.
Mtu wa physics & mathematics anaweza ona shule A inahitaji Mwalimu mmoja wahayo masomo.
Lkn mtu wa kiswahili & civics akiingia shule A kama bado inauhitaji ataiona kwa masomo yake. Am just thinking louder.
Nimeelewa kua hawajafanya specification ya kwa kila uhitaji wa kila somo Bali ni generalization ya uhitaji kwa masomo.