Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Inategemea mkuu, nilichogundua mfano shule inahitaji Mwalimu wakiswahili 1 itaonekana nafasi moja, lkn shule hio hio inaweza kuwa inahitaji walimu wa civics 3 kwahio mtu wa civics akiingia lazima aone nafasi bado zipo, muonekano wanafasi katika shule unategemea na muhusika anahitaji afundishe masomo yapi.

Mtu wa physics & mathematics anaweza ona shule A inahitaji Mwalimu mmoja wahayo masomo.

Lkn mtu wa kiswahili & civics akiingia shule A kama bado inauhitaji ataiona kwa masomo yake. Am just thinking louder.
Ooh good!
Nimeelewa kua hawajafanya specification ya kwa kila uhitaji wa kila somo Bali ni generalization ya uhitaji kwa masomo.
 
Ooh good!
Nimeelewa kua hawajafanya specification ya kwa kila uhitaji wa kila somo Bali ni generalization ya uhitaji kwa masomo.
Generalization ya masomo kwa walimu husika, Mwalimu wa physics & mathematics ataona nafasi zake zilizobaki, Mwalimu wa kiswahili and English ataona nafasi zake pia zilizobaki.
 
Hivi wakuu,mimi nimekutana na vacancy moja kila kona nikiwa naomba. Kuna mtu amekutana na kadhia kama hii?, Inamaana zilikuwa zimeshajazwa au kuna tatizo
 
Hivi jamani kwenye barua ya maombi ya ajira ya Ualimu kulikuwa na umuhimu wa kuweka picha kwenye barua?
 
Hiv hili neno 'already selected' Lina maana gan kama siyo mfumo unasafisha shule
 
Computer Mkuu....jaribu bila kukata tamaa....muda mzuri SAA 3 mpaka 6 usiku....kuna kaunafuu wa jam mtandaoni...nahisi watu wanakua wanatafuta ridhki kujaza matumbo...pia SAA 11 mpaka 12 asbuh wengi wanalala baada ya kukesha wakihangaika bila mafanikio...so mida hii MTU anaamua alale japo lepe la usingz
Nimefanikiwa
 
Wakuu Salaam;

Ofisi ya Rais-Tamisemi imefungua rasmi dirisha la kutuma maombi ya ajira kwa sekta ya elimu.

Kila aliye na sifa anaweza kuomba ajira hiyo kupitia link ifuatayo :Mfumo wa Maombi ya Ajira .

Kigezo cha kua na kitambulisho au namba ya NIDA kimejumuishwa kama msingi kwa waombaji wote.

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 21/09/2020.

All the Best.
Kupitia uzi huu nimegundua kuna vijana wadogo waliomaliza shule na hawana ajira.Ndio maana huwa kuna mada za ajabu ajabu zisizo na kichwa nyingi.

Serikali imemwaga ajira kwa vijana,ombeni acheni kuzogoa. Mkichelewa na mfumo kufungwa msije anza kulia humu jamvini kwa watu wenye akili za kujenga nchi.

Weka tiki Mi 5 tena kazi iendelee mbele kwa mbele!!
 
Miaka 5 alikuwepo wapi asipunguze jam mtaani anakuja kuongea kipind cha uchaguz?
 
hii kitu tu au kwa wote tuliomaliza kutuma maombi ukiangalia status ya application kwenye date of birth imepungua moja badala ya tarehe 26 wao wameweka 25,
Kumbe ni kwa wote.....Naona hawajamaa wameseti tarehe ipungue moja ili kupata sababu ya kuwakosesha watu kazi kisingizio umekosea tarehe ya kuzaliwa
 
Ooh good!
Nimeelewa kua hawajafanya specification ya kwa kila uhitaji wa kila somo Bali ni generalization ya uhitaji kwa masomo.
specification ipo huu mfumo nimeshausoma kwa umakini na kujua unavyofanya kazi........ fanya hivi anza kuchagua somo moja moja utajua hilo somo shule zip zinahitaji
 
jamani nisaidieni, nilikuwa na account ya zamani ila nimeshinwa kuitumia maana sina details kama user number na password, nimejaribu kufungua account mpya, kila nikiingiza namba ya form four naambiwa "index number invalid" natokaje hapa ndugu zangu?
 
Inategemea mkuu, nilichogundua mfano shule inahitaji Mwalimu wakiswahili 1 itaonekana nafasi moja, lkn shule hio hio inaweza kuwa inahitaji walimu wa civics 3 kwahio mtu wa civics akiingia lazima aone nafasi bado zipo, muonekano wanafasi katika shule unategemea na muhusika anahitaji afundishe masomo yapi.

Mtu wa physics & mathematics anaweza ona shule A inahitaji Mwalimu mmoja wahayo masomo.

Lkn mtu wa kiswahili & civics akiingia shule A kama bado inauhitaji ataiona kwa masomo yake. Am just thinking louder.
no..........ipo hivi ukitaka kujua specifically somo lipi linahitajika na shule ipi na kuna nafasi ngapi??? chagua hilo somo moja then angalia nafasi
 
hiii system nimeshaisoma vya kutosha ,, kama unahitaji ushauri na jinsi ya kuongeza probability na kupata chances nitakupa ushauri hapa...the issue unatakiwa ucheze na somo mojamoja na kucheki chances katika kila mkoa, wilaya na shule na mambo mengine madogo madogo.
 
Back
Top Bottom