Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

na sisi wenye degree za engineering poa tuombe ualimu. Si ndo maana ya tangazo au kuna sehem sijaelewa?
mkuu wewe umeomba na procedure gani umepitia umo kama umeomba ..maana naona mazing zong t
 
Hivi haya Maputo yanasubiriwa kwa mda gani maana saa la 3 bado yanazunguka
Wamejaribu kuingiza kiswahili kwny system ikakutana na kichina ndo hayo maputo sasa yametibuka humo ndani
 
Ni Ipera.
Kutoka kule kwenda Iringa (Ruaha mbuyuni) ni elfu 4 ila kwenda Dodoma mjini ni elfu 14, kwenda Mpwapwa Mjini ni elfu 8.

Ukitoka Mpwapwa kwenda huko ipera mkifika Kibakwe gari linasimamishwa mnunue chakula mle. Maana vijiji vinavyofata hakuna sehemu mnayoweza kula mpaka mnafika na safari bado ni ndefu.

Mkitoka Dodoma, gari inasimama kijiji kinaitwa Rudi ili mle. Japo hii ya dodoma sio obvious kusimama.
Yaa, rudi napapata nilipita kwenda winza kupitia chipogoro vijijini kwel kule
 
Mkuu ungesema mpwapwa maeneo gan kumaliza ubishi
Hivi unaifahamu vizuri mipaka ya Halmashauli ya Mpwapwa? Kufika Rudi unaona umeimaliza Mpwapwa Kabisa.

Anyway uzuri/ubaya wa JF kila mtu anajaribu kuwa smart kuliko mwingine, mimi siko ivo. Ukiuita huo nilioandika uongo nakukubalia napita ivi.
 
Piga hesabu yakawaida wahitimu walioko mtaani ni wangapi na server ya tamisemi inaweza kuwa accessed na watu wangapi kiufupi muda utaisha server ikiwa more loaded......hawajajipanga nikupotezeana muda
 
kuna yoyote aliyefahulu kuruka viunzi vyote hasa arts achilia mbali wahandisi.
 
Wakuu Salaam;

Ofisi ya Rais-Tamisemi imefungua rasmi dirisha la kutuma maombi ya ajira kwa sekta ya elimu.

Kila aliye na sifa anaweza kuomba ajira hiyo kupitia link ifuatayo :https://ajira.tamisemi.go.tz/ .

Kigezo cha kua na kitambulisho au namba ya NIDA kimejumuishwa kama msingi kwa waombaji wote.


Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 21/09/2020.

All the Best.
Bwana Bwege mbunge aliyemaliza muda wake huko Kilwa aliyasema haya. Mwishoooniii.. mtaachia... tunawajua nyie...
 
Mimi jana nilifanikiwa mpaka kufika kwenye teaching subjects. Nikaona kuna masomo ya sayansi tu. Sasa jana uck nimejaribu kufungua. Maputo yanazungunga moaka sasa hivi asubuhi. Ccm mnatutesa sana

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom