ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,451
- 2,348
mkuu wewe umeomba na procedure gani umepitia umo kama umeomba ..maana naona mazing zong tna sisi wenye degree za engineering poa tuombe ualimu. Si ndo maana ya tangazo au kuna sehem sijaelewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu wewe umeomba na procedure gani umepitia umo kama umeomba ..maana naona mazing zong tna sisi wenye degree za engineering poa tuombe ualimu. Si ndo maana ya tangazo au kuna sehem sijaelewa?
Wamejaribu kuingiza kiswahili kwny system ikakutana na kichina ndo hayo maputo sasa yametibuka humo ndaniHivi haya Maputo yanasubiriwa kwa mda gani maana saa la 3 bado yanazunguka
Yaa, rudi napapata nilipita kwenda winza kupitia chipogoro vijijini kwel kuleNi Ipera.
Kutoka kule kwenda Iringa (Ruaha mbuyuni) ni elfu 4 ila kwenda Dodoma mjini ni elfu 14, kwenda Mpwapwa Mjini ni elfu 8.
Ukitoka Mpwapwa kwenda huko ipera mkifika Kibakwe gari linasimamishwa mnunue chakula mle. Maana vijiji vinavyofata hakuna sehemu mnayoweza kula mpaka mnafika na safari bado ni ndefu.
Mkitoka Dodoma, gari inasimama kijiji kinaitwa Rudi ili mle. Japo hii ya dodoma sio obvious kusimama.
ThankxBachelor degree
Hivi unaifahamu vizuri mipaka ya Halmashauli ya Mpwapwa? Kufika Rudi unaona umeimaliza Mpwapwa Kabisa.
Anyway uzuri/ubaya wa JF kila mtu anajaribu kuwa smart kuliko mwingine, mimi siko ivo. Ukiuita huo nilioandika uongo nakukubalia napita ivi.
Nimesema masaa sita yaliyopita kwenye comment #99 huko juu. Rejea hapo mkuu.Mkuu ungesema mpwapwa maeneo gan kumaliza ubishi
Nimesema masaa sita yaliyopita kwenye comment #99 huko juu. Rejea hapo mkuu.
Umefikia wapLoh hali bado ni tete
UmeonaIzi ni propaganda za uchaguzi
Piga hesabu yakawaida wahitimu walioko mtaani ni wangapi na server ya tamisemi inaweza kuwa accessed na watu wangapi kiufupi muda utaisha server ikiwa more loaded......hawajajipanga nikupotezeana mudaUmeona
Bwana Bwege mbunge aliyemaliza muda wake huko Kilwa aliyasema haya. Mwishoooniii.. mtaachia... tunawajua nyie...Wakuu Salaam;
Ofisi ya Rais-Tamisemi imefungua rasmi dirisha la kutuma maombi ya ajira kwa sekta ya elimu.
Kila aliye na sifa anaweza kuomba ajira hiyo kupitia link ifuatayo :https://ajira.tamisemi.go.tz/ .
Kigezo cha kua na kitambulisho au namba ya NIDA kimejumuishwa kama msingi kwa waombaji wote.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 21/09/2020.
All the Best.
Mbona bado hayapasuki?Subir night kali, ndio uingie
Mpenz tulaleNilikuwa naandika as tahadhari maana kote ka ajira you must certify ur certificates
hata sisi ni hvyohvyo.mwenzenu nafungua naona kuna vitu kama maputo vinazunguka tu hahahahhahahhaha sielewi kitu hapa